Mwaka 2012 tuko chuo....Ardhi..boom..limetoka...
Jamaa wakanipitia kwenda kula kitimoto..njia ya Meeda pale.Tumemaliza wakaniombia tukaoshe macho kidogo (Kuna malaya wanajipanga barabarani) .
Basi watu wakawa wanapotea kila mtu kona yake.Mimi na jamaa mmoja tukakaribishwa na dada mmoja..kavaa kinguo kama chupi.."Karibuni wachumba".Story mbili tatu..kataja bei..mbele 10,000/= kwa mpalange 20,000/=.
Kilichotokea tukaanza stori, tukaa kwenye pembe za mtaro...dada alifurahi sana kupata hata watu wanapiga nae stori..aliongea vitu vingi akasema jinsi alivyo na shida, single mother..kuwa akipata mtaji ataacha hiyo.kazi.Tumekaa naye kama one hour..full kucheka tu, kasahau na biashara yake.Mwishoni tukampa 20,000/= tukamwambia akapumzike..hiyo akasepa zake kwa amani na sisi tukaondoka zetu.
Hawa watu wanatabu sana na wanahitaji upendo,
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app