Du!!! hi ndio ninayopitia
Baada ya kuoana nikaambiwa acha tuwajengee Kwanza wazazi ili tukimaliza tuanze kwetu ,,,baba mkwe akadai anataka nyumba 3 zizunguke boma lote
Mwaka unaofuata watoto 4 wote ada
1..form five private mil 1.5
2.. nurse private mil 3
3... clinical officer mil 2.8
4.... form four private
hapo bado matumiz ukwen lak 3 kila
Mwez hao wanafunzi matumiz yao
...mpaka Sasa tumepanga,,, hata kiwanja hatuna zaidi ya kula na Kodi hakuna Cha maana tunachofanya
Kipato chetu wote haizid mil 2kwa mwezi
Yan Sina ham na hii ndoa imebidi nimwambie jamaa ikifika mwisho mwezi atoe hela ya chakula tu zingine apeleke tu uko kwao
Mama mkwe nae upole umezidi tukinunua mfano mahindi gunia
Anagawa kwa watoto wake wengine siku chache tu,,, anadai chakula kimeisha