PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Comment yangu Bora nyingine ni hiiNi kweli uliyoelezea, lakini hii kanuni inafanya kazi kwenye mazingira ya speed ndogo. Ndiyo maana siku zote tunaambiwa ''speed kali inaua''. Ukiwa kwenye mwendo mkali, na uko kwenye gari ndogo kwa mfano, uvaane na lori, lile lori litakusanya vi-crumple zones vyako vyote pamoja na wewe na kukusagasaga. Nakuunga mkono, ila nazidi kusisitiza tuendeshe magari kwa mwendo wa kawaida.