Mnaoondoa mabampa ya Plastiki kwenye gari na kuweka ya Chuma au Ngao mnajitafutia kifo cha kujitakia!

Mada nzuri sana sana hii! Mungu akubariki
 
 
Ila ajali za nchi zetu kuchomoka ni nadra sana
Sheria hazifuatwi kabisa, na signs za barabarani hakuna utafikiri hakuna serikali kabisa huko
 

Mkuu uko sahihi ila umesahau kitu kimoja, picha hapo juu ni crash impact kwenye max speed 60km/hr au 100. Sasa ajali unazoona nyingi, speed wako zaidi ya 140km/hr, impact yake so mchezo
 
Mkuu uko sahihi ila umesahau kitu kimoja, picha hapo juu ni crash impact kwenye max speed 60km/hr au 100. Sasa ajali unazoona nyingi, speed wako zaidi ya 140km/hr, impact yake so mchezo
Ni kweli kuzingatia mwendo ni muhimu,sio kwamba ndio kinga kabisa,ukiwa hizo speed uwezekano wa kutoka hai ni mdogo
 
Zipo dawa za kukuzuia wewe mwenye gari usipatwe na ajali yoyote ile maishani mwako kwa mtu mwenye kutaka anitafute kwa wakati wake ili niweze kumpa hiyo dawa..
 
Uko sahihi sana mkuu.. naongezae na kingine juu ya hoja yako.. UZITO WA GARI.. gari unapoongeza uzito unazidi kupunguza efficiency yake. Unaongeza chuma karibu kilo 50 hadi 60 na bado hujabeba abiria.. kwakweli ni ukosefu wa habari na hawa manufacturers/watengenezaji wanajua wanachokifanya 100%.
Pia kwenye suala la ajali kuongezea zaidi ni kwamba unaweza gonga hata mti kwa spidi ndogo ila ikaleta damage kubwa maana crumple zone yote ipo rigid/ni ngumu sababu ya machuma ikapelekea gari ndogo kupinda kama fuso iliyokata center bolt.. inatembea kiupande upande kama geagea/crabs.
Tuwaamini watengenezaji,kuna wanayokosea ila wana maana kubwa sana kushift kutoka bumper za chuma kama kwenye Peugeot 504 na kuweka plastic. Hizi ni hatua za usalama wa mtumiaji wa chombo

Ahsante
 
vijana waliokulia dar watahisi ni uzushi
Vijana waliokulia mjini Dar wengi wao ni washamba hawajuwi kitu na ndio kila kitu wanakiiga wakisikia na mpaka sasa wanaiga mambo ya ushoga wapi na wapi na vijana wa Dar? Haswa Vijana wanaopenda kuiga ni wale vijana waliozaliwa kuanzia mwaka 2000.
 
Asante sana mkuu upo vizuri sana
 
Wabongo wanafikiri wazungu ni wajinga wale watu wanaakiri sana ukiangalia zile bampers zilivyowekwa yaani unajua kabisa aliyefikiria vile ni genius kabisa yaani hata mshindo kidogo tu lile bamper ndio la kwanza kutoka na kupasuka nati zake ni za plastic kabisa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…