Mnaopata kiungulia kila Ripoti ya CAG ikitolewa oneni madudu yanayotokea kwenye nchi za wazungu

Wewe unaprove theory ya Evolution of a Man by Charles Darwin.
 
Ubadhirifu unaweza usihatarishe usalama wa taifa, maana wanaonufaika na hizo hela ni matajiri wa Marekani
 
Aisee. Yaani tujilinganishe na USA ili tusijisikie inferior kwa wizi na ufisadi tunaofanya? So, that’s how bad it feels.

What you’ve been smoking lad?
Sasa mlitaka mjilinganishe na nani? Maana siasa zenu na uchumi wenu ni facsimile ya mfumo wa Kiliberali wa mmarekani
 
Wizi unatakiwa kukemewa kwa namna yoyote hata km utajiona superior namna gani! Na huwezi kujustify wizi kwa kuwa tu mkubwa naye kaibiwa au kuna irregularities
Hamna eneo ambalo nimejustify
 
Subiri povu kutoka kwa wamarekani weusi wa Nzega,


Ila kosa moja halihalalishi kosa lingine,
Kukosea kwetu hakuwezi kua ni halali au ikubalike kisa tu eti kuna wengine pia nao wanakosea.
 
Si bora hao angalau wame onesha kuna shida fulani. Na kiwango cha pesa kukitaja. Njoo nyumbani Tanzania. Uliisha ona CAG ktk ripoti zake akiitaja wizara ya ulinzi? Au command za JW achilia mbali wizara ya mambo ya ndani, magereza, police, uhamiaji n. k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…