Wewe mtoto kumsaidia mzazi wako nu wajibu wako na kumsaidia ndugu yako ni uamuzi wako sio lazima ila mzazi wako ni lazima mzazi ni haki yake kuhudumiwa na mtoto au watoto wake soma hii
Labda akili yako itaamka hasa watoto wakiume tunakosea sana wengi wanatelekeza familia zao uku wanajikita kusaidia familia ya mkewe ili aonekane mwema kike ila kwa ndugu zake aonekane mbaya ni upumbavu wa hali ya juu