TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
Mada na hoja sensitive kama hizi huwa (ga) sihitaji kutoa salamu!
Huwa nawashangaa watu wanaojiita "Wapinga Ushoga",wengi wao ni Keyboard Warriors ila sijawahi hata siku moja kuona wanaandamana na mabango huko mitaani wakipinga vitendo vya ushoga!
Swali ni Je,Siku Bunge la Tanzania likipitisha sheria za kuwalinda Mashoga (Ushoga kuwa halali) ,Je mtaandamana kama wakenya kwenda Bungeni kuupinga?
Au ndo mtakuwa Keyboard warriors huku majukumu mkiwatupia na kuwaachia CHADEMA?
Maana kwa ninavyo ona mambo yanavyoelekea,Tanzania hakuna wa kuandamana kupinga chochote ambacho Bunge litapitisha!,Ila wengi wenu huwa mnavuta midomo mirefu na kuandika kwa jazba huko mitandaoni kana kwamba Bungeni hampafahamu!