Oneni hizi chupli chupli za huyu jamaa..Ahaaaaaa soma kitabu kinachoitwa kijiji kisicho na makaburi. Hata ulipwe elfu 15 kwa mwezi unatoboa mwezi ujao ukiwa na balance
Duh Budget unapangaje mzee ?Laki nne Nina mke watoto wanne nimepanga lakini natoboa na chenji inabaki. Ningebahatika kupata hiyo take home yako mkuu ningeishi kiboss kabsa
Kula 200000 kodi 70000 umeme 10000 maji 5000 afya 30000 mm 60000 nauli na vocha nasave 25000 kwa ajili ya developmentDuh Budget unapangaje mzee ?
Mchana mnazima?Ndio inawezekana, labda wewe unaishi Oystebay
Elfu 25 unafanyia development gani afisa?Kula 200000 kodi 70000 umeme 10000 maji 5000 afya 30000 mm 60000 nauli na vocha nasave 25000 kwa ajili ya development
Nakusanya nifungue hata genge mkuu. Ntafanyaje sasa maisha yamenipiga na elimu Wala ujuzi wowote sinaElfu 25 unafanyia development gani afisa?