Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Tulia mtoto mdogo (in TID voice)Hapana mkuu, ukishiba usikufuru basi. Kuna watu mjini wana kipato kidogo kweli kweli, kwa sisi tuliokaa uswahilini, mshahara wa laki 2 ni mkubwa tu eti na mtu anaheshimika😂, analipa pango 30k kwa mwezi uhakika, usitushangae mkuu, tunaishi vizuri tu kwa nusu milioni.