ummumuhammad
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 796
- 697
Hoja yako ilikuwa hakuna mwalimu anayepokea 1.29,Ndiyo maana nikakutaka utoe ushahidi ili tuone bayana.Tofauti na ulichokiandika.Nina dogo yupo TANESCO ana certificate ya VETA mwezi mmoja kazini ananionyesha salary slip.
Basic 800k
Responsibility allowance 130k
Housing allowance 150k
Posho ya mazingira magumu 120k.
Hapo bado zile bahasha za pale ofisini kukiwa na over tym na safari.
Almost 1.3M