GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Nikisema naingia period au nilisema kuwa Kibailojia hata Wanaume nao wanakumbana na Jambo kama hilo ila wao hawatoi Damu na nikaweka hadi Uchambuzi wa Kisayansi kutoka katika Mtandao wa Madaktari?Kuna siku ulileta uzi ukasema huwa unaingia period labda ndo sababu hutaki kuoa
Kwahiyo unakubali kuwa huwa unaingia period ila hutoi damu?Nikisema naingia period au nilisema kuwa Kibailojia hata Wanaume nao wanakumbana na Jambo kama hilo ila wao hawatoi Damu na nikaweka hadi Uchambuzi wa Kisayansi kutoka katika Mtandao wa Madaktari?
Weka hapa huo Uzi wa Mimi kusema kuwa huwa naingia Period.
Na ni kitambo sana namuona hum. Inashangaza!Enheee!,Genta hajaoa!
Mwanaume unakuwaje single
Hii Soda haina gesi, ndo maana una maneno ya vibarazani kumbe unapumuliwa
Kuna mahala popote pale nilipouanzisha umeona nimekuita Mpumbavu Wewe uje Kuusoma?Uzi wa kishamba sana huu... Kula dislike hizo😎
Mkuu unakumbuka sanaa uko bar gani hapo nikubless METHYLATED SPIRITKuna siku ulileta uzi ukasema huwa unaingia period labda ndo sababu hutaki kuoa
Hahahahahahahahahahah we jamaaa unataka akuweke ignoreKwahy wakuu nimesema huyu Gentamibangi anavuja Kila mwezi 😂 bc awe makini asije kuwa Single mother mana wahuni hawana huruma ukiwaletea mbunye ya bure 🔥
Kama akini-ignore nakosa oksijeni, bc namuomba msamaha, kama sivyo bc ht akiniweka kwenye trash atajua mwnywHahahahahahahahahahah we jamaaa unataka akuweke ignore
mkuu samahani naomba nipate kujua wanaume wanatoa nini wakiingia periodNikisema naingia period au nilisema kuwa Kibailojia hata Wanaume nao wanakumbana na Jambo kama hilo ila wao hawatoi Damu na nikaweka hadi Uchambuzi wa Kisayansi kutoka katika Mtandao wa Madaktari?
Weka hapa huo Uzi wa Mimi kusema kuwa huwa naingia Period.
Sijawahi kumuweka Mtu katika Ignore List badala yake huwa NAPAMBANA nao vilivyo na bahati nzuri hata Moto wangu wanaujua pia. Hata Wewe pia hujachelewa kujaa katika 18 zangu ili nikupasue....!Hahahahahahahahahahah we jamaaa unataka akuweke ignore
Kwani lazima kuoa mkuu?Na ni kitambo sana namuona hum. Inashangaza!