Mnaopoteza muda wenu kutwa Kuniuliza nipo Single, haya hapa majibu yenu

Kuna siku ulileta uzi ukasema huwa unaingia period labda ndo sababu hutaki kuoa
Nikisema naingia period au nilisema kuwa Kibailojia hata Wanaume nao wanakumbana na Jambo kama hilo ila wao hawatoi Damu na nikaweka hadi Uchambuzi wa Kisayansi kutoka katika Mtandao wa Madaktari?

Weka hapa huo Uzi wa Mimi kusema kuwa huwa naingia Period.
 
Kwahiyo unakubali kuwa huwa unaingia period ila hutoi damu?
 
mkuu samahani naomba nipate kujua wanaume wanatoa nini wakiingia period
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…