Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Huyu mama ni katili sn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ame copy na ku pasteMama alikumbuka zama za mwendazake
actually,Mheshimiwa amenukuliwa vibaya, anapotoshwa sana.
CC: ChoiceVariable, Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa na wajakazi wengine.
Hongereni sana machawa, japo hili mlichelewa kulitolea ufafanuzi.actually,
mpaka sasa hakuna athari zozote kiutendaji au kisiasa kwa kiongozi wetu kipenzi Cha waTanzania wote Dr.Samia Suluhu Hassan, na kwakweli hakuna hatari ya wala kitisho cha athari zozote kwa chama na serikali sikivu ya CCM kwa siku zijazo pia..
shukrani nyingi sana kwa wanainchi na waTanzania wote kwa ujumla wao, kwa kuwapuuza na kutowazingatia wapotoshaji wenye nia ovu kwa maslahi yao binafsi kisiasa 🐒
Thank you very much Tanzanians..