actually,
mpaka sasa hakuna athari zozote kiutendaji au kisiasa kwa kiongozi wetu kipenzi Cha waTanzania wote Dr.Samia Suluhu Hassan, na kwakweli hakuna hatari ya wala kitisho cha athari zozote kwa chama na serikali sikivu ya CCM kwa siku zijazo pia..
shukrani nyingi sana kwa wanainchi na waTanzania wote kwa ujumla wao, kwa kuwapuuza na kutowazingatia wapotoshaji wenye nia ovu kwa maslahi yao binafsi kisiasa 🐒
Thank you very much Tanzanians..