Fundi_Mjasiriamali
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 748
- 1,340
Tunajua wengi tunapoelekea mwisho wa mwaka huu, lazima turudi nyumbani, kusherehekea pamoja sikukuu ya christmas na mwaka mpya. Tunawakumbusha mnaokuja huku vijijini mubakikishe mnakuja na mlichovuna huko mijini mwaka huu wote mzima.
Kama ulikuwa unazungusha sket au suruali huko mjini, usitegemee kuja huku kijijini tukakuchinjia mbuzi, ngombe au kuku, kila mtu atakula alichokipanda mwaka mzima.
Haiwezekani utuletee mkate wa buku, sukari ya buku mbili halafu ukategemea tukuchinjie ng'ombe au mbuzi. Leta ulichovuna huko tule na familia nzima.
NB; Nimeambatanisha picha kukazia zaidi.