Mnaorudi "Nyumbani" mwisho huu wa mwaka pitieni hapa.

Fundi_Mjasiriamali

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Posts
748
Reaction score
1,340
Tunajua wengi tunapoelekea mwisho wa mwaka huu, lazima turudi nyumbani, kusherehekea pamoja sikukuu ya christmas na mwaka mpya. Tunawakumbusha mnaokuja huku vijijini mubakikishe mnakuja na mlichovuna huko mijini mwaka huu wote mzima.

Kama ulikuwa unazungusha sket au suruali huko mjini, usitegemee kuja huku kijijini tukakuchinjia mbuzi, ngombe au kuku, kila mtu atakula alichokipanda mwaka mzima.

Haiwezekani utuletee mkate wa buku, sukari ya buku mbili halafu ukategemea tukuchinjie ng'ombe au mbuzi. Leta ulichovuna huko tule na familia nzima.

NB; Nimeambatanisha picha kukazia zaidi.
IMG_20181115_114034.jpeg
 
Hahaha!!wanalisha madem chips dah,ila kweli mkuu
 
Tunajua wengi tunapoelekea mwisho wa mwaka huu, lazima turudi nyumbani, kusherehekea pamoja sikukuu ya christmas na mwaka mpya. Tunawakumbusha mnaokuja huku vijijini mubakikishe mnakuja na mlichovuna huko mijini mwaka huu wote mzima.

Kama ulikuwa unazungusha sket au suruali huko mjini, usitegemee kuja huku kijijini tukakuchinjia mbuzi, ngombe au kuku, kila mtu atakula alichokipanda mwaka mzima.

Haiwezekani utuletee mkate wa buku, sukari ya buku mbili halafu ukategemea tukuchinjie ng'ombe au mbuzi. Leta ulichovuna huko tule na familia nzima.

NB; Nimeambatanisha picha kukazia zaidi.View attachment 934976
Hiyo post nimeona ni ya Yericko Nyerere,sasa mbona umekata jina lake kwenye hiyo screen shot?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na wakija Christmas hatuwachinjii kuku na mbuzi mpaka wanivue kwa hela
 
Back
Top Bottom