Mnaosema Afrika hatupo huru upande wa kiimani/ kidini,je mfumo wa Kisiasa tumeweza kubaki kuwa huru?

Mnaosema Afrika hatupo huru upande wa kiimani/ kidini,je mfumo wa Kisiasa tumeweza kubaki kuwa huru?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,678
Reaction score
5,166
Almost we depend on everything from White Hatujaweza kubaki au kuanzisha mifumo yetu katika nyanja zote Siyo kiimani tu hata kisiasa hatupo huru.

We are pure socialism lakini imebakia nadharia na tupo kwenye utumwa Siasa za magharibi, Demokrasia za mchongo,uhuru usiyo wa mipaka leo ukienda kenya Mpuuzi anaweza kufanya upuuzi na kujitetea kuwa ni uhuru wake kufanya hivyo,heshima inapotea kwa ujinga wa watu wachache,watu wanakufa kwa mifumo mibovu.

Watu wachache wenye kulinda mifumo wanapema majina mabovu kama dikteta huku wanaotetea ujinga wanaonekana kuwa ni wakombozi.

Afrika kila sehem tupo nyuma,mnao kataa udini kataeni Siasa.

Binafsi ikiwa Chama kinapigania uhuru na ujamaa nitaweza kukisapoti lakini siyo venginevyo hata.

NIELEWEKE CCM SIO CHAMA CHA KIJAMAA NACHO NAKIPINGA.
 
Watu wanaodai kwamba dini imepofusha mtazamo wetu na imeturudisha nyuma huwa nashindwa kuwaelewa kabisa...Walipokuja wawekezaji barrick,,Anglo ashant,,Ggm,,WA China walio kwenye kandarasi zote,,waarabu waliowekeza mbugani,,bandarini,,na baadhi ya hoteli NK nk Hakuna aliepitia kanisani au msikitini au aliegawa rozari ama tasbihi Hakuna,,,wote wameletwa na wanasiasa wasomi tena wengine wamesoma Harvard but nchi imefeli na imekuwa mwembe WA uani..
 
Tunamatatizo yetu aisee..tusidanganyane
 
Hatupo huru kiimani, kiuchumi, kisiasa, kijamii n.k

Neocolonialism at its best.
 
Kila kitu ni lazima kiwe na mfumo ndio kitaweza kukamilika.Ukienda Saudi Arabia Wana mfumo WA kuongoza nchi kifalme,, China ujamaa WA kisasa,,Marekani ubepari,,, South Africa ubepari...Lakini ukiangalia nchi nyingi za kiafrika hazina mfumo zinausimamia,,,zinaendeshwa Kwa hisia,,utashi na matakwa ya alie madarakani Kwa wakati hio.Na anavyoambiwa na waliomkopesha na wanaomdai na anaotarajia kwenda kuwakopa wenye uwezo
 
Kila kitu ni lazima kiwe na mfumo ndio kitaweza kukamilika.Ukienda Saudi Arabia Wana mfumo WA kuongoza nchi kifalme,, China ujamaa WA kisasa,,Marekani ubepari,,, South Africa ubepari...Lakini ukiangalia nchi nyingi za kiafrika hazina mfumo zinausimamia,,,zinaendeshwa Kwa hisia,,utashi na matakwa ya alie madarakani Kwa wakati hio.
Hisia zao zipo based on Capitalism lengo kulinda regime yake au yao.
 
Hoja za kusema dini ndio inadumaza uwezo wa kufikiri na maendeleo ya mwafrika ni hoja dhaifu mno tena zinatakiwa kupingwa vikali sababu zinalea na kuficha madhaifu yetu ya kweli. Kwanza Ukitazama 80% ya jamii zote duniani dini wamerithi tu kutoka kwenye jamii nyingine kama walivyo waafrika tu.lakini utakuta bado kuna jamii nyingi miongoni mwa jamii izo wana maendeleo mazuri kuliko pengine hata hao waliowarithisha izo dini ,swali linakuja wao wamewezaje ? Kingine historia inaonyesha sehemu kubwa ya Afrika iz dini za kikoloni zinazopigiwa kelele zilichelewa sana kufika hata kuenea kuliko maeneo mengi ya dunia, je kabla azijaja izo dini Afrika kwenye swala la kimaendeleo tulifikia wapi?
 
Back
Top Bottom