Mnaosema Hayati Dkt. Magufuli ndiye aliwaambia Wamachinga wajenge mabanda kila mahali, sikilizeni maagizo yake

Hivi kuna haja gani ya kulizungumzia hili kila mara, Sheria za mipango miji zinasemaje? Tukizifuata sheria tutafanikiwa katika hili, Lakini tukiangalia nani alisema ni nini itakatika miaka na miaka bila kupata suluhu ya machinga.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Haja ya kulizungumzia ipo ili kumaliza utata wa wapinga legacy wanaolazimisha kwamba JPM ndio aliwaruhusu wamachinga kujenga kila mahala bila mpangilio

Tunamshukuru rais wetu Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kushughulika na watendaji wazembe wanaoshindwa kusimamia hili jambo
 
Back
Top Bottom