Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hivi unavyosema Bank kichwani inakujia bank gani?
Je, bank zote zindiko lao ni moja?
Je, hakuna nguvu inayopita nguvu nyingine?
Ikitokea mtu au mchawi ana nguvu kuzidi nguvu ya zindiko la nyumba yako , biashara au bank yako basi jua kuwa anaweza kukuburuza atakavyo.
Mzee wangu anaweza kuingia hata WB na kuchota mkwanja kisha kusepa. Tena haingii yeye bali anamtuma jini anakwenda kuvunja hata ma stiff safe na kuchukua pesa.
Sema yule mzee ni wale wa zamani wanaoridhika na kidogo walichonacho.
Huyu mzee ni mwaka wa 14 sasa hatujaonana, tulitofautiana baada ya Mimi na wadogo zangu 2 kuhamia Imani nyingine.
Yupo Lindi Liwale, anayebisha aende aulize sheikh ambaye watoto wake wamesilimu atapelekwa.
Huyu mzee mpaka kutembea juu ya maji mengi bila kuzama anaweza.