Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Naskiaga haviendani na bangi... Pia ni zindiko... Kamfupa ka kamdudu...Nadhani wachawi hawaruhusiwi kuiba maana hela hata majumbani kwetu tunazo na hatuna mazindiko yoyote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naskiaga haviendani na bangi... Pia ni zindiko... Kamfupa ka kamdudu...Nadhani wachawi hawaruhusiwi kuiba maana hela hata majumbani kwetu tunazo na hatuna mazindiko yoyote
Hawa watoto wa fikra.Amini kwamba wapo wanao weza kuiba tatizo lako wewe ni bishi tu huna uhakika unachobishia, wanaiba kwa vijicent cent, unaweka benk milioni moja unakuta laki 9 na elfu tisini na 6 mia tisa themanini... iyo remaining iko wapi na makato yote ushahakiki, unailamu benki ina makato makubwa benki nao wanakuambia hawana.
Jiulize watu wanatembelea mkoko wa milioni 50 au 30 wengi tu unaamini uhalali wa pesa zao kwa % ngapi. Ikiwa wewe milioni kumi tu kuipata ni ndoto, majumba ya kifahari.
Hujui mambo mengi.Mchawi gani anayeweza kuiba benki, wangeweza kuiba haya mabenki yangefilisika
So, according to your knowledge you think Freemasonry is the peak of witch craft?Bank zote freemason wamezindika hakuna awezae kuingia ukutana na shoti
Hapa sasa ndio akili za mswahili zilipoishia.Hivi unavyosema Bank kichwani inakujia bank gani?
Je, bank zote zindiko lao ni moja?
Je, hakuna nguvu inayopita nguvu nyingine?
Ikitokea mtu au mchawi ana nguvu kuzidi nguvu ya zindiko la nyumba yako , biashara au bank yako basi jua kuwa anaweza kukuburuza atakavyo.
Mzee wangu anaweza kuingia hata WB na kuchota mkwanja kisha kusepa. Tena haingii yeye bali anamtuma jini anakwenda kuvunja hata ma stiff safe na kuchukua pesa.
Sema yule mzee ni wale wa zamani wanaoridhika na kidogo walichonacho.
Huyu mzee ni mwaka wa 14 sasa hatujaonana, tulitofautiana baada ya Mimi na wadogo zangu 2 kuhamia Imani nyingine.
Yupo Lindi Liwale, anayebisha aende aulize sheikh ambaye watoto wake wamesilimu atapelekwa.
Huyu mzee mpaka kutembea juu ya maji mengi bila kuzama anaweza.
Kweli mkuu.Hawa watoto wa fikra.
Wakiambiwa freemasons kuna utajiri wanaamini bili kujiuliza utajiri/fedha hizo wanatoa wapi
Sio kwamba ameridhika, la hasha, ni kwamba kuna masharti magumu kutoka kwa nguvu za giza kwa yeyote aliyepewa nguvu hizo. Kwa kawaida huwezi kuwa na maisha mazuri ya kweli, inakuwa ni geresha tu na inaambatana na mateso makubwa ambayo wengi hawaoni kwanini wayapate hata kama wanapata fedha nyingi kiasi gani. Fahamu jambo hili muhimu: shetani hata anachomiliki na hana mamlaka ya mwisho, shetani yupo chini ya mamlaka ya Mungu Mwenyezi na hivyo njia zake ni limited sana.Sema yule mzee ni wale wa zamani wanaoridhika na kidogo walichonacho.
Zinatoka kwenye mifumo mbalimbali ya kifedha duniani kama.Hawa watoto wa fikra.
Wakiambiwa freemasons kuna utajiri wanaamini bili kujiuliza utajiri/fedha hizo wanatoa wapi