Mnaosema kuwa hakuna mchawi anayeweza kuiba Bank mnajidanganya

Hawa watoto wa fikra.
Wakiambiwa freemasons kuna utajiri wanaamini bili kujiuliza utajiri/fedha hizo wanatoa wapi
 
Mchawi gani anayeweza kuiba benki, wangeweza kuiba haya mabenki yangefilisika
Hujui mambo mengi.
Hivi unadhani mabilionea pesa wanatoa wapi?
Ukiambiwa freemasons kuna utajiri wa billions of money akilini mwako unawaza pesa wanatoa wapi?
 
Hapa sasa ndio akili za mswahili zilipoishia.

Kuwaza kukwiba/ulozi/uchawi/kuloga/kulogwa/utajiri/ufreemason

Hlf tunasema tumeingia uchumi wa kati

Tuache utani aisee
 
Sema yule mzee ni wale wa zamani wanaoridhika na kidogo walichonacho.
Sio kwamba ameridhika, la hasha, ni kwamba kuna masharti magumu kutoka kwa nguvu za giza kwa yeyote aliyepewa nguvu hizo. Kwa kawaida huwezi kuwa na maisha mazuri ya kweli, inakuwa ni geresha tu na inaambatana na mateso makubwa ambayo wengi hawaoni kwanini wayapate hata kama wanapata fedha nyingi kiasi gani. Fahamu jambo hili muhimu: shetani hata anachomiliki na hana mamlaka ya mwisho, shetani yupo chini ya mamlaka ya Mungu Mwenyezi na hivyo njia zake ni limited sana.
 
Hawa watoto wa fikra.
Wakiambiwa freemasons kuna utajiri wanaamini bili kujiuliza utajiri/fedha hizo wanatoa wapi
Zinatoka kwenye mifumo mbalimbali ya kifedha duniani kama.
.Kuchukua Senti au point kwenye account za watu bank.
.Chuma ulete
.Pesa zinapotea mfano umedondosha, kwa watu Dunia nzima zinarudi kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…