Mnaosema kuwa Mo hajaweka bilioni 20 Simba, hizo Bilioni 20 za kitu Gani?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Kuna mashabiki wa timu moja ambayo timu nzima ina mashabiki wawili tu wenye akili, kila siku Wanahoji/ kuuliza swali lisilo na mantiki.

Kila siku wanauliza kama Rais wa Heshima Simba Mohamed Dewji tayari keshaweka kwenye akaunti ya Simba shilingi bilioni 20 alizoahidi kuwekeza Simba.

Kwani hizo Bilioni 20 za uwekezaji zilitarajiwa kuwekezwa kwenye nini ambacho mpaka Sasa hakionekani??

Gharama za usajili, mishahara ya wachezaji, mishahara ya wafanyakazi Simba, gharama za kuisafirsha timu ndani na nje ya nchi. Nani analipa???
 
Simba ina udhamini wa karibu Bilioni 10 kwa mwaka. Hizo hela za Mo anazotoa mfukoni siyo rasmi, mkimuudhi anaweza susa.
Hicho ndiyo kisichotakiwa.
 
Hoja yako ni ipi??

Tangu aseme atawekeza bilioni 20 imepita miaka mingapi??

GSM yeye hatoi Hela mfukoni?? Au Kwa sababu anapenda kuvaa misuli ambayo Haji alisema haitakiwi kuvaliwa na kitu ndani??
 
Kuna mashabiki wa timu moja ambayo timu nzima ina mashabiki wawili tu wenye akili, kila siku Wanahoji/ kuuliza swali lisilo na mantiki.

Kila siku wanauliza kama Rais wa Heshima Simba Mohamed Dewji tayari keshaweka kwenye akaunti ya Simba shilingi bilioni 20 alizoahidi kuwekeza Simba.

Kwani hizo Bilioni 20 za uwekezaji zilitarajiwa kuwekezwa kwenye nini ambacho mpaka Sasa hakionekani??

Gharama za usajili, mishahara ya wachezaji, mishahara ya wafanyakazi Simba, gharama za kuisafirsha timu ndani na nje ya nchi. Nani analipa???
ndiyo maana wengine waliitana mbumbumbu wenyewe kwa wenyewe , labda tujiulize, timu haina chochote inachokipata katika michezo yake yote mpaka Mo ndiyo alipe? na kama kulipa hicho ni kitu kingine tofauti na uwekezaji. Uwekezaji maana timu inafika mahali inakuwa na mali zake kutokana na muwekezaji kuwekeza na inaweza kujigaramia mahitaji yake. Je leo Mo akiondoka simba Simabinaweza fanya hayo? Ndiyo swali watu wanalolisema ukisema umewekeza kionekane siyo pesa ya kutoa mfukoni kwako na siku ukinuna wakupigie magoti.
 
tripleec unajua maana ya uwekezaji kwenye timu ya Mpira???

GSM pale Yanga kawekeza kitu Gani cha kuonekana???
 
Kwa hiyo Simba kama club haitengenezi kipato chochote? Udhamini wa M bet, Azam. Matangazo mpaka makalioni hayazalishi?

Kama unampenda sana Mo malizama nae inbox sio kutuletea hadharani! Eboo!
 
ndicho nilichoshangaa timu imecheza michezo ya kimatiafa hata pesa ya kusafiri mpaka mo, bado azam , bado NBC, sijajua kuhusu jezi, viingilio
 
Kuna mashabiki wa timu moja ambayo timu nzima ina mashabiki wawili tu wenye akili, kila siku Wanahoji/ kuuliza swali lisilo na mantiki.

Kila siku wanauliza kama Rais wa Heshima Simba Mohamed Dewji tayari keshaweka kwenye akaunti ya Simba shilingi bilioni 20 alizoahidi kuwekeza Simba.

Kwani hizo Bilioni 20 za uwekezaji zilitarajiwa kuwekezwa kwenye nini ambacho mpaka Sasa hakionekani??

Gharama za usajili, mishahara ya wachezaji, mishahara ya wafanyakazi Simba, gharama za kuisafirsha timu ndani na nje ya nchi. Nani analipa???
20 B hyo ni hisa yake ya 49% kama mwekezaji,,

Lakini hyo hisa hajaweka huo mziigo popote,

Maana yake inabatilisha zile 49% ya uwekezaji wake.

Mambo ya usajili,,sijuwi mishahara ukumbuke kwamba simba inaingiza pesa za CAF na kuuza wachezaji pamoja na wadhamini peza zinakwenda wp?

Ni sawa na mpangaji hajalipa kodi ya jengo anapiga mahesabu ya matengenezo ya vitasa vya mlango mara geti mara bulb..

Hii haipo sawa..
 
Kuna mashabiki wa timu moja ambayo timu nzima ina mashabiki wawili tu wenye akili, kila siku Wanahoji/ kuuliza swali lisilo na mantiki.

Kila siku wanauliza kama Rais wa Heshima Simba Mohamed Dewji tayari keshaweka kwenye akaunti ya Simba shilingi bilioni 20 alizoahidi kuwekeza Simba.

Kwani hizo Bilioni 20 za uwekezaji zilitarajiwa kuwekezwa kwenye nini ambacho mpaka Sasa hakionekani??

Gharama za usajili, mishahara ya wachezaji, mishahara ya wafanyakazi Simba, gharama za kuisafirsha timu ndani na nje ya nchi. Nani analipa???
ELIMU! ELIMU! ELIMU! Asante Lowasa
 
Chawa tuliza kitenesi
 
Hivi huyu MO anawapa shilingi ngapi ili muandike postings za kipuuzi kama hizi? Mwanzoni aliwapa pesa kupost kumtukana Mangungu sasa kaona haikulipa mnaanza kupost kumsifu na kumtetea dhidi ya lawama anazoshtumiwa. Huu umaskini duuuuuu
 
Back
Top Bottom