Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
- #21
Kwanza Mimi Sina mahusiano na Mo. Mimi ni mshamba wa Kigungawe Iringa.Hivi huyu MO anawapa shilingi ngapi ili muandike postings za kipuuzi kama hizi? Mwanzoni aliwapa pesa kupost kumtukana Mangungu sasa kaona haikulipa mnaanza kupost kumsifu na kumtetea dhidi ya lawama anazoshtumiwa. Huu umaskini duuuuuu
Humu Kuna mada inaitwa "ukweli kuhusu uwekezaji Wa Mo Dewji Simba ndiyo huu"
Hiyo mada kaisome nimeandika Mimi.
Hili ni jambo jingine kabisa.
Wengine hatujawahi kuwa na "Price Tag" maishani mwetu.