Mnaosema kuwa Mo hajaweka bilioni 20 Simba, hizo Bilioni 20 za kitu Gani?

Mnaosema kuwa Mo hajaweka bilioni 20 Simba, hizo Bilioni 20 za kitu Gani?

Kuna mashabiki wa timu moja ambayo timu nzima ina mashabiki wawili tu wenye akili, kila siku Wanahoji/ kuuliza swali lisilo na mantiki.

Kila siku wanauliza kama Rais wa Heshima Simba Mohamed Dewji tayari keshaweka kwenye akaunti ya Simba shilingi bilioni 20 alizoahidi kuwekeza Simba.

Kwani hizo Bilioni 20 za uwekezaji zilitarajiwa kuwekezwa kwenye nini ambacho mpaka Sasa hakionekani??

Gharama za usajili, mishahara ya wachezaji, mishahara ya wafanyakazi Simba, gharama za kuisafirsha timu ndani na nje ya nchi. Nani analipa???
Jdjdhdhd
 
Back
Top Bottom