Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Simba ina udhamini wa karibu Bilioni 10 kwa mwaka. Hizo hela za Mo anazotoa mfukoni siyo rasmi, mkimuudhi anaweza susa.Kuna mashabiki wa timu moja ambayo timu nzima ina mashabiki wawili tu wenye akili, kila siku Wanahoji/ kuuliza swali lisilo na mantiki.
Kila siku wanauliza kama Rais wa Heshima Simba Mohamed Dewji tayari keshaweka kwenye akaunti ya Simba shilingi bilioni 20 alizoahidi kuwekeza Simba.
Kwani hizo Bilioni 20 za uwekezaji zilitarajiwa kuwekezwa kwenye nini ambacho mpaka Sasa hakionekani??
Gharama za usajili, mishahara ya wachezaji, mishahara ya wafanyakazi Simba, gharama za kuisafirsha timu ndani na nje ya nchi. Nani analipa???
Hoja yako ni ipi??Simba ina udhamini wa karibu Bilioni 10 kwa mwaka. Hizo hela za Mo anazotoa mfukoni siyo rasmi, mkimuudhi anaweza susa.
Hicho ndiyo kisichotakiwa.
ndiyo maana wengine waliitana mbumbumbu wenyewe kwa wenyewe , labda tujiulize, timu haina chochote inachokipata katika michezo yake yote mpaka Mo ndiyo alipe? na kama kulipa hicho ni kitu kingine tofauti na uwekezaji. Uwekezaji maana timu inafika mahali inakuwa na mali zake kutokana na muwekezaji kuwekeza na inaweza kujigaramia mahitaji yake. Je leo Mo akiondoka simba Simabinaweza fanya hayo? Ndiyo swali watu wanalolisema ukisema umewekeza kionekane siyo pesa ya kutoa mfukoni kwako na siku ukinuna wakupigie magoti.Kuna mashabiki wa timu moja ambayo timu nzima ina mashabiki wawili tu wenye akili, kila siku Wanahoji/ kuuliza swali lisilo na mantiki.
Kila siku wanauliza kama Rais wa Heshima Simba Mohamed Dewji tayari keshaweka kwenye akaunti ya Simba shilingi bilioni 20 alizoahidi kuwekeza Simba.
Kwani hizo Bilioni 20 za uwekezaji zilitarajiwa kuwekezwa kwenye nini ambacho mpaka Sasa hakionekani??
Gharama za usajili, mishahara ya wachezaji, mishahara ya wafanyakazi Simba, gharama za kuisafirsha timu ndani na nje ya nchi. Nani analipa???
Kuendesha timu siyo kama familiaSimba ina udhamini wa karibu Bilioni 10 kwa mwaka. Hizo hela za Mo anazotoa mfukoni siyo rasmi, mkimuudhi anaweza susa.
Hicho ndiyo kisichotakiwa.
ndicho nilichoshangaa timu imecheza michezo ya kimatiafa hata pesa ya kusafiri mpaka mo, bado azam , bado NBC, sijajua kuhusu jezi, viingilioKwa hiyo Simba kama club haitengenezi kipato chochote? Udhamini wa M bet, Azam. Matangazo mpaka makalioni hayazalishi?
Kama unampenda sana Mo malizama nae inbox sio kutuletea hadharani! Eboo!
Lengo la timu ya michezo ni kuchukua makombe kama lilivyo lengo la cama cha Sasa ni kutwaa madaraka.tripleec unajua maana ya uwekezaji kwenye timu ya Mpira???
GSM pale Yanga kawekeza kitu Gani cha kuonekana???
20 B hyo ni hisa yake ya 49% kama mwekezaji,,Kuna mashabiki wa timu moja ambayo timu nzima ina mashabiki wawili tu wenye akili, kila siku Wanahoji/ kuuliza swali lisilo na mantiki.
Kila siku wanauliza kama Rais wa Heshima Simba Mohamed Dewji tayari keshaweka kwenye akaunti ya Simba shilingi bilioni 20 alizoahidi kuwekeza Simba.
Kwani hizo Bilioni 20 za uwekezaji zilitarajiwa kuwekezwa kwenye nini ambacho mpaka Sasa hakionekani??
Gharama za usajili, mishahara ya wachezaji, mishahara ya wafanyakazi Simba, gharama za kuisafirsha timu ndani na nje ya nchi. Nani analipa???
ELIMU! ELIMU! ELIMU! Asante LowasaKuna mashabiki wa timu moja ambayo timu nzima ina mashabiki wawili tu wenye akili, kila siku Wanahoji/ kuuliza swali lisilo na mantiki.
Kila siku wanauliza kama Rais wa Heshima Simba Mohamed Dewji tayari keshaweka kwenye akaunti ya Simba shilingi bilioni 20 alizoahidi kuwekeza Simba.
Kwani hizo Bilioni 20 za uwekezaji zilitarajiwa kuwekezwa kwenye nini ambacho mpaka Sasa hakionekani??
Gharama za usajili, mishahara ya wachezaji, mishahara ya wafanyakazi Simba, gharama za kuisafirsha timu ndani na nje ya nchi. Nani analipa???
Hisa!!!???Nilichogundua watanzania wengi wakiwemo wasomi wakubwa hawajui chochote kuhusu uwekezaji wa hisa wana lubaluba tu!
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Chawa tuliza kitenesiKuna mashabiki wa timu moja ambayo timu nzima ina mashabiki wawili tu wenye akili, kila siku Wanahoji/ kuuliza swali lisilo na mantiki.
Kila siku wanauliza kama Rais wa Heshima Simba Mohamed Dewji tayari keshaweka kwenye akaunti ya Simba shilingi bilioni 20 alizoahidi kuwekeza Simba.
Kwani hizo Bilioni 20 za uwekezaji zilitarajiwa kuwekezwa kwenye nini ambacho mpaka Sasa hakionekani??
Gharama za usajili, mishahara ya wachezaji, mishahara ya wafanyakazi Simba, gharama za kuisafirsha timu ndani na nje ya nchi. Nani analipa???
Hivi huyu MO anawapa shilingi ngapi ili muandike postings za kipuuzi kama hizi? Mwanzoni aliwapa pesa kupost kumtukana Mangungu sasa kaona haikulipa mnaanza kupost kumsifu na kumtetea dhidi ya lawama anazoshtumiwa. Huu umaskini duuuuuuKuna mashabiki wa timu moja ambayo timu nzima ina mashabiki wawili tu wenye akili, kila siku Wanahoji/ kuuliza swali lisilo na mantiki.