Mnaosema kuwa Mo hajaweka bilioni 20 Simba, hizo Bilioni 20 za kitu Gani?

mo kaweka 20b na zote zimewekezwa utt
 
Tate Mkuu utopolo mnapenda sana kukuza mambo ya Simba.

Tangu Mo aseme atawekeza hizo Hela imepita miaka mingapi!!??

Uzembe si wa Mo ni wa kina Mangungu. Sasa Mo analaumiwa kwa lipi!!??

Hao kina Mangungu wameshawahi kusema uwekezaji wa Mo simba ukoje na ni wa aina gani??

Mkishakunywa supu za bure huko ndiyo mnakuja kubagaza timu bora namba 7 Afrika.
 
Mo dewji ameweka Billion 20 halafu Ameokoa Billion 50 ambazo angetumia kama gharama za kutangaza products zote simba asingekua anaimiliki Simba, Hakika hii ni mambumbu FC ….Mo na wajukuu wake wataitafuna simba mpaka Watakapoona Basi waziuze hisa zao kwa Billion 500+ ambazo sidhani kama mbumbumbu wa simba wataweza kununua
 
Kwa upande wa Yanga, sijasikia hata siku moja huyo business partner wa mkwere GSM kuwa amewekeza Yanga!! GSM ni mfadhiri/shabiki wa Yanga.
Kama si mwekezaji hela anazotoa anatoa kama sadaka???
 
Tanzania matangazo ya timu hayana thamani hiyo unayofikiria. Waulize watu wa Yanga "Whizmo" ni Nini kama watakujibu!!!
 
Tanzania matangazo ya timu hayana thamani hiyo unayofikiria. Waulize watu wa Yanga "Whizmo" ni Nini kama watakujibu!!!
Na hapa ndio Mo anapowala Bila huruma, Simba ya sasa sio ya zama zile za Manara, Simba ya leo ni Worldwide platform, nakuapia kwa yale matangazo yote return ya mo products ni kubwa kuliko mnavyodhania na kikubwa zaidi ni kwamba jamaa amekata matumizi ya Gharama za Matangazo kwenda kwenye TV na ma redio maana popote simba itakapotazamwa Tayari umeiona Mo Xtra
 
vvm mambo mengine mnakuza sana. Hebu nipe mchanganuo hayo matangazo yamemwingizia Mo asilimia ngapi ya mapato ya kampuni yake?
 
Mimi simlaumu Mo. Ila ni nyinyi wenyewe ndiyo mnaokamatana uchawi. Maana hata Mbunge wa Nzega Mh. Hamis Kigwangala alishawahi kuhoji.

Mimi nimeshangaa tu uliposema huyo Mo ndiye anayelipa mishahara ya wachezaji, na ndiye anayehusika na kuisafirisha timu ndani na nje ya nchi; huku timu ikiwa ina wadhamini wa kutosha tu! Mfano Mbet, Azam, NBC, Mo xtra, Mo faundation, mapato yatokanayo na jezi, viingilio, nk!! Hizi pesa zote zinakwenda wapi, kama masuala mengi anafanya Mo!!!
 
Kolo mwenye akili uliyebaki pale umbumbumbuni
 
Tate Mkuu uwekezaji wa Mo Simba ni kama mtu ama amewekeza kupitia Kampuni yake???

Hoja yangu hapa ni rahisi sana, kama Kuna tatizo liko upande wa Simba na siyo Mo!!!

Kwa Nini watu hawahoji zile 51% kapewa nani maana mpaka saa hii watu wanahoji 49% ya Mo ila 51% za wanachama wa Simba haiuliziwi.
 
Ndio maana yake!!Yeye ni mfadhiri . If he is an investor how may shares if any does he own in the enterprise?
Mdhamini ama mfadhili. Vigezo na masharti gani vilitumika kumfanya yeye kuwa mfadhili/mdhamini??
 
Hata Yanga ni hivo hivo, 51% ya wanachama , je mbeleni haitatokea kama ya Simba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdhamini ama mfadhili. Vigezo na masharti gani vilitumika kumfanya yeye kuwa mfadhili/mdhamini??
Mfadhiri mara nyingi hujitolea kutokana kufurahishwa na kile anachofanya anayemfadhiri. Mfadhiri mara nyingi huombwa na muhitaji!
Pengine huyo GSM alishawishiwa na Kikwete ambae ni shabiki wa Yanga kuwa aisaidie hiyo club!
 
Si umesema 51%ni ya wanachama; sasa waulize nini tena? Kwani hawana daftari lenye orodha ya wanachama?
Mo hana controlling shares hapo Simba , anawapekesha wanachama wa simba kutokana na ujinga wao!
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…