Mnaosema "kuwa na amani" mnamaanisha nini?

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Inaweza kutokea mtu fulani akakukwaza kwelikweli au kukuweka katika mazingira usijuwe hatima yako itakuwaje.

Hapo sasa unakuta anatokea mtu mmoja anakunasihi kwa maneno haya "kaka/dada uwe na amani"

Sasa haya maneno uwa yana maana gani maana sometimes unakuta uyo anayekwambia hana hata abc za kulichokukuta apo au unakuta naye ni km wewe tu hajui nini kitatokea apo mbeleni.

kimsingi uwa nakwazika sana na hawa waongeaji wa hivi na kiukweli sijawahi kuwaelewa. sijui labda wenzangu mnawaelewaga.
 
Uwe na Amani moyoni, Mambo ya dunia yanapita tu, hivyo yasikufanye ukashindwa ku enjoy maisha since we only live once. Enjoy every second you breathe.

May peace be upon you.
 
Inaweza kutokea mtu fulani akakukwaza kwelikweli au kukuweka katika mazingira usijuwe hatima yako itakuwaje.

Hapo sasa unakuta anatokea mtu mmoja anakunasihi kwa maneno haya "kaka/dada uwe na amani"

Sasa haya maneno uwa yana maana gani maana sometimes unakuta uyo anayekwambia hana hata abc za kulichokukuta apo au unakuta naye ni km wewe tu hajui nini kitatokea apo mbeleni.

kimsingi uwa nakwazika sana na hawa waongeaji wa hivi na kiukweli sijawahi kuwaelewa. sijui labda wenzangu mnawaelewaga.
Anamaanisha relax
 
Kuna kipindi fulani cha maisha ya utafutaji/kujitafuta mtu unakuwa na hasira hasira za hovyo hovyo tu hata watu wakikutakia salamu na amani bado unawaona kero, nyie maisha haya [emoji1787]

Kama maisha hayajawah kukufinya huwez kuelewa hii [emoji23][emoji23]
 
Ni maneno tu ya kistaarabu ya kuzuia ugomvi....

Jaribu kufikiria sentensi moja unayoweza kutumia kuzuia ugomvi uone kama ni rahisi[emoji23]

Afu pia nafikiri hayo maneno yametolewa kwenye bibilia na yamesambazwa na wakristo
Mdogo kiumri lakini hupo vizuri kichwani.
 
Inaweza kutokea mtu fulani akakukwaza kwelikweli au kukuweka katika mazingira usijuwe hatima yako itakuwaje.

Hapo sasa unakuta anatokea mtu mmoja anakunasihi kwa maneno haya "kaka/dada uwe na amani"

Sasa haya maneno uwa yana maana gani maana sometimes unakuta uyo anayekwambia hana hata abc za kulichokukuta apo au unakuta naye ni km wewe tu hajui nini kitatokea apo mbeleni.

kimsingi uwa nakwazika sana na hawa waongeaji wa hivi na kiukweli sijawahi kuwaelewa. sijui labda wenzangu mnawaelewaga.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂☺️😂😂😂😂😂😂😂
 
Au unakuta mtu anakuambia yesu anaokoa ukimcheki na yeye ni apechealolo .
 
Back
Top Bottom