Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Inaweza kutokea mtu fulani akakukwaza kwelikweli au kukuweka katika mazingira usijuwe hatima yako itakuwaje.
Hapo sasa unakuta anatokea mtu mmoja anakunasihi kwa maneno haya "kaka/dada uwe na amani"
Sasa haya maneno uwa yana maana gani maana sometimes unakuta uyo anayekwambia hana hata abc za kulichokukuta apo au unakuta naye ni km wewe tu hajui nini kitatokea apo mbeleni.
kimsingi uwa nakwazika sana na hawa waongeaji wa hivi na kiukweli sijawahi kuwaelewa. sijui labda wenzangu mnawaelewaga.