permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Hii hoja ya ushoga ni hoja mfu. Waarabu wenye dini wana vitendo vya ushoga uliokomaa. Tofauti ni moja, mzungu Akira shoga anaweka wazi, hawa wamaojifanya ni watu wa haki bandia wanafanya na wanakuwa wa kwanza kuwanyooshea wengine vidoleShida Sio Uarabu Hata Muarabu Anaweza Kuwa Sio Muislam Pia, Tusikarira Maisha.Kama Hauko Upande Wa Haki Uislamu Haujal Kabila Hata Kama Ni Muislamu Usipofungamana Na Haki Unawekwa Kwenye Kundi La Wanafiki Hii Ndio Maana Ya Dini Ya Haki Hakuna Cha Kushangaza Kabisa.Sio Kama Nyinyi Mtu Akiwa Mkristo Akisapot Ushoga Kwa Vile Mkristo Mnamuhifadhi .Acha Chuki Na Uislamu Wayahud Hawaijui Dini Yako Mbona Waislamu Hatuna Chuki Na Nyinyi
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app