Mnaoshangilia kesi ya Makonda mnapoteza muda wenu bure, hakuna kesi pale

Kama uvamizi wa Clouds ni jambo jepesi hivyo kwa nini Nape alitishiwa bunduki na wahuni hadi akasaidiwa na Kitenge kwenye hilo saga?
 
Makonda ndiyo mtu pekee anaekula bata Tanzania kwa kauli yake mwenyewe

sasa kusema hivyo sijui ikawaje kosa kisheria[emoji23][emoji23][emoji23]

kifupi jamaa alikuwa anajua ana kundi kubwa linachukia sana maisha yake,akawa anafanya kusudi.
 
We Màtaga unaogopa Makonda atakuacha MJANE?
 
Ina maana wewe unamtetea makonda?unaakili sawasawa wewe? We mtu mpaka marekani wame mpiga burn,hiyo hata akitoka kwenye hili iko siku atafunguliwa ingine,kesi imekaa Kama SoMo la hesabu,2+2 ni 4 hakuna jibu lingine,simpendi mtu napenda nchi yangu Tanzania wanasiasa wakipata madaraka wanajiona wao wanaakili kuliko watu wa kawaida
 
Kwani hujui kusoma?
 
Kwani Marekani ni mbinguni ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…