Mnaosifia kupata mke mzuri ni kwa Wahehe na Wabena, hivi mmezunguka Nchi hii? Mabinti wanyaturu, wanyiramba, wambulu (wairaqw) na warangi mnawajua?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760





Nchi hii labda kama hujazunguka utakimbilia kuoa wahehe na wabena


Ukipata bahati ya kutembelea maeneo haya ni lazima utajitafakari upya

Dodoma - Warangi
Manyara - Wambulu (wairaqw)
Singida - wanyaturu na wanyiramba
 

Attachments

  • 1709149134540.png
    738.6 KB · Views: 13
Nchi hii labda kama hujazunguka utakimbilia kuoa wahehe na wabena


Ukipata bahati ya kutembelea maeneo haya ni lazima utajitafakari upya

Dodoma - Warangi
Manyara - Wambulu (wairaqw)
Singida - wanyaturu na wanyiramba
Acha kujipigia debe
 
ndugu unaongelea mke au mwanamke?
mana vigezo ni tofauti!
bahati mbaya unaodhan tumewasahau ni tunawajua sana ila hawamo kundi la kupata mke.
ila kwa selfie ni daraja A.
mwanaume makini ana vigezo zaidi ya mwonekano linapokuja suala la kuhamisha mwanamke kuwa mke!
 
Mke mzuri ina maana nyingi sio muonekano tu.....hayo maeneo uliyoyataja ni makao makuu ya chawote ,kuna mke na kuna viburudisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…