Mnaosifia kupata mke mzuri ni kwa Wahehe na Wabena, hivi mmezunguka Nchi hii? Mabinti wanyaturu, wanyiramba, wambulu (wairaqw) na warangi mnawajua?

Sina mpango wa kuishi na Mwanamke mwenye muonekano mbaya, nitachagua mzuri kimuonekano hata km tuta-share na majirani

Unakua na mke hata kumtambulisha unajishauri mara 3 watanizungumziaje?
kama una mpango wa kuishi muda mrefu nakushauri ubadiri haraka hiyo sera!
mana hakuna mke atadumu akiwa mzuri tishio machon mwako labda ukuwe zumbukuku.
hakuna mke atakuwa mzuri kwa watu wote wakati wote.
Heshima kupitia mkeo utaipata kwa namna anakutunzia kitumbua na anakusupport mjenge familia inayoendelea.
Ka kukutunzia heshma simaanishi kutovuliwa na mtu mwingine bali kukuonyesha havuliwi pia!
Kwa maana kuhisi anatumika zaidi ya wewe ni hatari kuliko kutumika kwenyewe!
Siku unatambulisha mkeo unayeona ni pisi kali kumbe wenye Nida na wasio na Nida wamempitia kuanzia mdogo wako aliyeko likizo. mrangi wa bucha, mpogoro boda, mkwere wa vyuma chakavu, mang wa duka, muha wa vyombo, muha wa kucha, mkinga wa kuku, mhaya afisa mtendaji, mkurya polisi jamii, mnyakyusa katekista, mjita mwalimu, mpemba wa vipodozi, mwarabu wa fuso, kila mmoja kwa wakati wake ndo utaelewa maveteran wanakushauri nini.
 
kama una mpango wa kuishi muda mrefu nakushauri ubadiri haraka hiyo sera!
mana hakuna mke atadumu akiwa mzuri tishio machon mwako labda ukuwe zumbukuku.
hakuna mke atakuwa mzuri kwa watu wote wakati wote.
Heshima kupitia mkeo utaipata kwa namna anakutunzia kitumbua na anakusupport mjenge familia inayoendelea.
Siku unatambulisha mkeo unayeona ni pisi kali kumbe wenye Nida na wasio na Nida wamempitia kuanzia mdogo wako aliyeko likizo. mrangi wa bucha, mpogoro boda, mkwere wa vyuma chakavu, mang wa duka, muha wa vyombo, muha wa kucha, mkinga wa kuku, mhaya afisa mtendaji, mkurya polisi jamii, mnyakyusa katekista, mjita mwalimu, mpemba wa vipodozi, mwarabu wa fuso, kila mmoja kwa wakati wake ndo utaelewa maveteran wanakushauri nini.
Ni mwendo wa Mimba tu
 
hao warangi aisee ni habari jingine. majuzi nimemuona mmoja alinipitia kwa mbaaali wanavutia sana ile mbaya.

mwanamme mwenzangu jaribu kuvuta picha unakutana nadem
  • mrefu
  • wait ile kokoleti
  • mwembamba wa afya
  • kiuno chembamba km nyigu
  • nyuma kajazia - ana taco na nusu
  • mapokez napo si haba

nasema hivi wanaume tuombewe
 
Back
Top Bottom