Tunaongelea tabiaNi wazuri kwa muonekano
Ila hawatoi amani kwenye ndoa
Wapo tena ndio wanaongoza,wana mashep mazuri warefu yani ni warembo kwa kila kitu.Hivi kwanini kanda ya ziwa haijawahi kuwa na demu mzuri? Angalau Tabora wanajitahidi
Kanda ya ziwa sehemu kubwa hamna demu mzuri asee Tabora ndo wakaliWapo tena ndio wanaongoza,wana mashep mazuri warefu yani ni warembo kwa kila kitu.
Wajita na wakerewe , chamawe chatata usijaribu wanawezana wenyewe kwa wenyewe. Kafanye tafiti mkendo streetMmeenda ukerewe nyie?[emoji28]
Labda kama uzuri niweupe tu.Kanda ya ziwa sehemu kubwa hamna demu mzuri asee Tabora ndo wakali
Mademu wa Tabora ndo mademu wazuri kanda ya ziwa yote, Kwanzia sura hadi shapeLabda kama uzuri niweupe tu.
Mwiraqw ukioa umesogeza moto kifuani.Ni wazuri kwa muonekano
Ila hawatoi amani kwenye ndoa
Kwako we uzuri ni weupe sio?Hivi kwanini kanda ya ziwa haijawahi kuwa na demu mzuri? Angalau Tabora wanajitahidi
Kanda ya ziwa sehemu kubwa hamna demu mzuri asee Tabora ndo wakali
Wengi wao ni plane mkuu, chura za kutafuta kwa tochi....nimeishi nao kwa kiasiSwall langu ni moja tu, WANA CHURA?
Kote huko Musoma, Mwanza, Shinyanga, Geita Kama Tabora haipo kanda ya ziwa basi kanda ya ziwa haina demu mzuri hata mmojaUmeenda kanda ya ziwa ipi au ziwa nyasa?tabora sio kanda ya ziwa.
Wahehe na Wabena wanasifiwa kama wife material ni si kwa uzuri wa nje.View attachment 2919510
View attachment 2919509View attachment 2919490
View attachment 2919487
View attachment 2919499
Nchi hii labda kama hujazunguka utakimbilia kuoa wahehe na wabena
Ukipata bahati ya kutembelea maeneo haya ni lazima utajitafakari upya
Dodoma - Warangi
Manyara - Wambulu (wairaqw)
Singida - wanyaturu na wanyiramba