Mnaosifia kupata mke mzuri ni kwa Wahehe na Wabena, hivi mmezunguka Nchi hii? Mabinti wanyaturu, wanyiramba, wambulu (wairaqw) na warangi mnawajua?

MAISHA HAYAELEWEKI SANA. MWANAMKE MWENYE SURA NZURI ANAWEZA TONGOZWA NA WENGI ILA KUKUBALI KWAKE NI TABIA YAKE. MWENYE SURA MBAYA PIA ANAWEZA TONGOZWA NAYE AKAJAA TU KWENYE MFUMO. WANAWAKE WOTE WANAWEZA KUWA CHA WOTE. NIMETEMBEA UKEREWE, NKOME, SHINYANGA, CHATO, NJOMBE , WANAWAKE WANAGAWA TU KAMA ILIVYO KONDOA, SINGIDA, MANYARA NA ARUSHA,,MPAKA TANGA, MBEYA KYELA, NJOMBE KWA WABENA WANAWAKE WA LIWA
 
Ndoa ni taasis complex sana. Kama ww umeangalia uzuri wa sura, unadhani ndio ndoa. Una safari ndefu, ndoa sio sehem ya kushindanisha uzuri
 
Tatizo mabeki wanaacha mipira ifike kwa kipa sana, goli ukiliangalia limechakaaa.
 
Kila mtu aoe ndani ya kabila lake.
tuachieni wanawake wetu nyie mbwa
 
Leo nlikua nahesabu nimelala na wanaume wangapi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeshtuka
 
Tena usawa huu ulivokaba, acheni kabisa....znapigwa snaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…