π₯πΉπΏππNaona wanaharakati wa twita kila baada ya sentensi mbili kuhusu Mama yetu kipenzi mnasema atakuwa 'one term president'. Hivi ni lini alisema anataka vipindi viwili? Considering namna alivyoingia madarakani, hamfikirii kuwa labda alikuwa na mipango yake kabla msiba haujaingilia kati? She might opt kuongoza mwaka mmoja akasepa, after all she has been citizen number 2 for 5+ years already.
Yani nyie kuongoza nchi vipindi viwili kwenu ndo success? Asemwe kwa vitu vingine ila sijaona shame yoyote kwa kuwa one term president. Actually ni ujasiri kuliko yule aliyetaka kuongezewa muda.
View attachment 1750634
"Mwendazake Akafanya maflekeche yake kapita kwenye kula anazojua yeye". Hapa Umepiga Mule Mule ...Ndg wewe ni Mbaya Ndaaa!!! Mwache Mungu aitwe Mungu....Maadam Samia is our Presiedent we are happy kuwa nae , Mambo ya Kuleteana stress ya Kimwendazake Hatuyataki tena. Yaani tule mulo Mmoja Kwa siku then Ndg zetu, wapotee eti wasiojulikana. Mungu anajulikana na Kafanya lililojema Kwake.Wakati jiwe anaingia ulingoni wakati huo na tramp aliingia pia.
Watu walimfananisha saana jiwe na trump.
Vituko alivyofanya trump kule akaondolewa,akaishia kipindi kimoja.
Huyu wakwetu alianza kujihic, hadi akauliza mbona wengu waliopita wamemaliza vipindi viwili kwanini mimi niishie kimoja.
Alijihic mwenyewe kua hakubaliki kiviile.
Akafanya maflekeche yake kapita kwenye kula anazojua yeye.
Lakini MWENYEZI MUNGU AKASEMA,WE! USINITANIE!!
KAMA WEWE UNAMBINU NYINGI MIMI NAKUPUNZISHA MAANA KAMA KAZI ULIOFANYA INATOSHA.
Kajikuta ndio hivyo.
hahahahahahahahahahahahaha............
Watanzania tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwani tulimshindwa huyu dhalim, lakini Mungu kwa upendo wake mkuu akamtowesha bila hata ya tone moja la damu kumwagika.Wakati jiwe anaingia ulingoni wakati huo na tramp aliingia pia.
Watu walimfananisha saana jiwe na trump.
Vituko alivyofanya trump kule akaondolewa,akaishia kipindi kimoja.
Huyu wakwetu alianza kujihic, hadi akauliza mbona wengu waliopita wamemaliza vipindi viwili kwanini mimi niishie kimoja.
Alijihic mwenyewe kua hakubaliki kiviile.
Akafanya maflekeche yake kapita kwenye kula anazojua yeye.
Lakini MWENYEZI MUNGU AKASEMA,WE! USINITANIE!
KAMA WEWE UNAMBINU NYINGI MIMI NAKUPUNZISHA MAANA KAMA KAZI ULIOFANYA INATOSHA.
Kajikuta ndio hivyo.
Hahahahahahahahahahahahaha