LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Unachokisema wewe ni sawa na kwenda kunywa kwenye bar ya kishua wanapouza bia moja sh elfu kumi kwa matarajio kwamba wale matajiri wanao kunywa kwenye hiyo bar wataanzisha urafiki/ukaribu na wewe wakati wenzako wanakuchora wanakuona kibaka tu.
Waulize waswahili( wenye maisha ya chini) walio soma Shaaban Roberts pale wakupe uhalisia. Waswahili wana baguliwa mpaka basi sio tu wanafunzi hadi walimu waswahili wanabaguliwa
Waulize waswahili( wenye maisha ya chini) walio soma Shaaban Roberts pale wakupe uhalisia. Waswahili wana baguliwa mpaka basi sio tu wanafunzi hadi walimu waswahili wanabaguliwa