Mnaosubilia CSEE RESULT 2013 checkin hapa.

kwel2

Senior Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
109
Reaction score
47
kwanza niwape hongera kwa kumaliza form 4, pia hongera kwa wale wote waliowawezesha nyie kufika hapo wazazi, pamoja na walimu, nachotaka kuongea na nyie hapa nikuhusu haya, matokeo yenu ambayo kuanzia leo tarehe 8, mpaka tarehe 13 mwezi huu wa 2 yanaweza kutoka, so nachotaka kuwambia ni kuwa, unapofanya mtihani kuna mawili, kufeli, na kufaulu, kwaiyo basi unapofaulu usibweteke, kwani bado unasafari ndefu sana tena ambayo ni ngumu zaidi ya ulipotoka, kaza buti usilewe sifa kwani wengi waliofaulu form four walipofika advance walifeli, kisa walijisahau, pili wale mtakao feli msikate tamaa na kuchukua maamuzi ya kuacha kusoma, au mzazi kukataa mlipia mtoto ada kisa amefeli, mpe nafasi mtoto ajaribu tena, na wewe kijana ukifeli jaribu tena wengi mnao waona vyuoni, makazini, hawakukata tamaa pale walipo feli, so nawatakia mandalizi mema ya maisha mapya.
 

Mkuu wamekupata, ila unge edit kidogo ingekuwa poa sana.
 
Uliyoongea mkuu ni sawa, ila niongezee tu kidogo kuwa; kufeli kwa mtihani huo sio mwisho wa mafanikio na tusilazimishe mfumo mmoja tu wa elimu hata ufundi pia unafaa.
 
Mh kweli bwana chitanda kama elimu imekuwa ngumu jaribu ufundi au fani nyingine utatoka2 kwani sio wote waliotoka kwa kupitia elimu all in all I wish u best result all 4m4 leaver 2o12
 
Thats true ila 2kumbuke na elimu inauhumuhim wake katika dunia ya kesho.
 
Kuna wa2 wengi sana maisha yao mazur na hawajasoma kabisa,tusikate tamaa jamani!
 
Cjakupata mkuu fresh,unamaanisha 2csome ya kwamba kla m2 ana riziki lake?,pacpo elm dunia hii haiend!
 
Sikia kufel shule au pepa ya 4m 4 sio kufel maisha,anayepata dv one n anayepat dv 3 wote wanakutana advnc xo yle anaesoma lengo lake n kuelimika n kupat kaz nzur il ajikimu n maisha ya sas xo chamsing n kujpanga 2,nawatakia kila la khr
 
Ebwaaa!nimeamini kweli mwenye hamu ya matokeo safari hii anafanywa mburula.. Jaman kama hamna link msitupe presha na hizo habari kwenye mgzn zpo alaaa!
 
Sidhani kama kuna mtu anasubilia CSEE RESULTS 2013,mbona hata mtihani wenyewe hawajafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…