Mnaosubilia CSEE RESULT 2013 checkin hapa.

Mnaosubilia CSEE RESULT 2013 checkin hapa.

nimeamini serikali ya magamba imehatamia mitaala inataka itotoe sasa

Huu uzi nahisi unawafaa wenyewe wanafunzi.Maana wanachokiandika wanaelewana wenyewe,kichina si kichina na ukija kwenye kiswahili hakuna maneno kama hayo wala herufi x haipo katika silabi za Kiswahili...
Halafu wanapeana moyo kuwa hata wakifeli watakuwa na maisha bora....Mtabeba box wadogo...

"Nlikuwepo":bolt:
 
mi binafsi nimeona kusubiria matokeo ya necta, ni sawa na kusubiria mtumbwi airpot.hivyo nimeamua bora nianze ujasiriamali kama bakhresa.
 
Atakae pata four ya 25 mpaka 30 asijinyonge ani pm, ushauri wa bure kabisa!
 
Back
Top Bottom