Mnaosubilia CSEE RESULT 2013 checkin hapa.

Mnaosubilia CSEE RESULT 2013 checkin hapa.

Kwakwel baraza la mthan wamekuwa wazembe xana,cjui kwa kuwa wote ni drsa la saba!
 
Kwakwel baraza la mthan wamekuwa wazembe xana,cjui kwa kuwa wote ni drsa la saba!

Wewe nina mashaka na tokeo lako litakavyotoka, chunga sana usijejikuta darasa la saba ni wewe.. Usimdharau mtu,
 
Dah wewe una matatizo ya macho.hizo comma huzioni? Na nukta.
 
Ni kweli wakuu sio kulaumu necta ,hasa sialala kasahihisha na kupanga ,inahitaji umakini kwa kweli na sio kikulpuka tu isije ikatokea maafa kama ya mwaka jana
 
mkuu, tarehe ulizoandika hapo zimepita na bado Wizara ya Elimu ipo kimya.. Una ufafanuzi?
 
kwanza niwape hongera kwa kumaliza form 4, pia hongera kwa wale wote waliowawezesha nyie kufika hapo wazazi, pamoja na walimu, nachotaka kuongea na nyie hapa nikuhusu haya, matokeo yenu ambayo kuanzia leo tarehe 8, mpaka tarehe 13 mwezi huu wa 2 yanaweza kutoka, so nachotaka kuwambia ni kuwa, unapofanya mtihani kuna mawili, kufeli, na kufaulu, kwaiyo basi unapofaulu usibweteke, kwani bado unasafari ndefu sana tena ambayo ni ngumu zaidi ya ulipotoka, kaza buti usilewe sifa kwani wengi waliofaulu form four walipofika advance walifeli, kisa walijisahau, pili wale mtakao feli msikate tamaa na kuchukua maamuzi ya kuacha kusoma, au mzazi kukataa mlipia mtoto ada kisa amefeli, mpe nafasi mtoto ajaribu tena, na wewe kijana ukifeli jaribu tena wengi mnao waona vyuoni, makazini, hawakukata tamaa pale walipo feli, so nawatakia mandalizi mema ya maisha mapya.

Ikishindikana sana kila njia warejee sera ya "KILIMO KWANZA" kunamikopo ya matrekta watafanikiwa.
 
kuna ushauri wakati mwingine unaweza kuwa unamweleza binadamu yakawa yanapita sikio hilo na kutokea lile kana kwamba unampigia mbuzi gitaa. Mtoa mada ushauri wako mzuri lakini sio muda muhafaka kwa vijana.
 
jaman matokeo mbna kimya au n mabaya.hya tuxema leo ckuku ya wapendanao wazri kawambwa alikuwa na shemeji, bc mwambien kesh n cku ya kaz atangaze bana
 
Si Vizuri Kuongea Kitu Ambacho Hauna Uhakika Nacho@ Kama Yalishatoka Mbona Hayatangazwi Kwenye Vyombo Vya Habari? Acheni Utani Mazee!
 
Back
Top Bottom