Maformular
Member
- Feb 14, 2014
- 12
- 0
jaman matokeo mbna kimya au n mabaya.hya tuxema leo ckuku ya wapendanao wazri kawambwa alikuwa na shemeji, bc mwambien kesh n cku ya kaz atangaze bana
nimeamini serikali ya magamba imehatamia mitaala inataka itotoe sasa
Mna2zingua nyie matokeo yenyewe yako wapi xaxa
Atakae pata four ya 25 mpaka 30 asijinyonge ani pm, ushauri wa bure kabisa!
mkuu, tarehe ulizoandika hapo zimepita na bado Wizara ya Elimu ipo kimya.. Una ufafanuzi?
2013! Sio 2014: