Mnaosubiria kuona Taarifa ya Rais Tamanio la Wananchi wenye Machungu Magazetini Kesho poleni sana na mno

Mzukulu

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2020
Posts
1,401
Reaction score
2,643
Kuna bonge la Mkwara nasikia umepigwa katika Newsroom za Magazeti ya Kesho juu ya kutokuchapisha Taarifa ya Rais Tamanio la Wananchi wenye Machungu Magazetini na kwamba kile kitakachothubutu watakuwa wameshajihalalishia Bifu la Kudumu na hao Wakatazaji ( Wapigwa Mkwara ) huo.

Kuna mawili ama waitoe kwa Unafiki tu na kuipa Nafasi ndogo sana au Waitoe lakini katika dhana ya Kuikandia / Kumkandia Mhusika na atokako.
 
Duuhhfff . Tanganyika yangu jamani !!. Hivi siasa safi haiwezekani kabisa ?!
 
LISSU kuwa RAISI wacha JPM aendelee kuwepo CHADEMA jipangeni hata mkiungana ACT CUF NCCR TLP CHADEMA.

MAADAM mgombea wenu ni Lissu jipangeni upya.
 
Unajua zama hz c zile, wachapishe wasichapushe yote sawa tu...lkn uzr siku hz Mambo yako kiganjani...najua kesho watakuja na uchambuzi wa kinafki lkn taarifa imewafikia wananchi na wamechambua tyr...ukija na uchambuzi wako wa kujipendekeza watu wanaishia kukung'ong'a tu... watanzania wana imani sana na mhe.Lissu , hilo hata wana ccm wenyewe wanalijua...hivyo kesho hasa redio flan njooni na uchambuzi wenu wa kiboya .. uchambuzi wa kutafuta Udc... uchambuzi wa kujipendekeza kwa mzee wa chatto na serikali yake...ni bora msichambue kbs
 
Maaamuzi yangu MKUU.

HATA KULA KAMA UPINZANI WATAMPITISHA MH. LISSU basi ntatumiaa nguvu yangu apite JPM.
Nchi ni ya wananchi wote, akiwemo Lissu na Jpm, yeyote anaewafaa wananchi apewe fursa. Na si kukariri chama kilichofelisha almost 60yrs
 
Kuna bonge la Mkwara nasikia umepigwa katika Newsroom za Magazeti ya Kesho juu ya kutokuchapisha Taarifa ya Rais Tamanio la Wananchi wenye Machungu Magazetini na kwamba kile kitakachothubutu watakuwa wameshajihalalishia Bifu la Kudumu na hao Wakatazaji ( Wapigwa Mkwara ) huo.

Kuna mawili ama waitoe kwa Unafiki tu na kuipa Nafasi ndogo sana au Waitoe lakini katika dhana ya Kuikandia / Kumkandia Mhusika na atokako.
Yupi huyu anae sapoti ushoga?
FB_IMG_1591479815656.jpeg
Mawe%20Rashidi%2C%20profile%20picture_20200607_2.jpeg
 
Too late
Kuna bonge la Mkwara nasikia umepigwa katika Newsroom za Magazeti ya Kesho juu ya kutokuchapisha Taarifa ya Rais Tamanio la Wananchi wenye Machungu Magazetini na kwamba kile kitakachothubutu watakuwa wameshajihalalishia Bifu la Kudumu na hao Wakatazaji ( Wapigwa Mkwara ) huo.

Kuna mawili ama waitoe kwa Unafiki tu na kuipa Nafasi ndogo sana au Waitoe lakini katika dhana ya Kuikandia / Kumkandia Mhusika na atokako.
 
Wape salaam wana lumumba
Wamenituma pia niwasaidie kukuambia kuwa jaribu Kuupunguza Upumbavu wako na lilo Bichwa lako Kubwa kama Nanga la Meli ya Linea Mesina
 
Misukule mnajitekenya na kucheka wenyewe!!![emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Back
Top Bottom