Mnaosubiria kuona Taarifa ya Rais Tamanio la Wananchi wenye Machungu Magazetini Kesho poleni sana na mno

Mnaosubiria kuona Taarifa ya Rais Tamanio la Wananchi wenye Machungu Magazetini Kesho poleni sana na mno

Tulia dawa iingie maungoni ili upone vizuri
LISSU kuwa RAISI wacha JPM aendelee kuwepo CHADEMA jipangeni hata mkiungana ACT CUF NCCR TLP CHADEMA.

MAADAM mgombea wenu ni Lissu jipangeni upya.
Screenshot_20200608-210107.jpeg
 
Watakuwa wanazidi kujiondoa kwenye ushindani wa biashara za media kama zile radio zao za mataga
Unajua zama hz c zile, wachapishe wasichapushe yote sawa tu...lkn uzr siku hz Mambo yako kiganjani...najua kesho watakuja na uchambuzi wa kinafki lkn taarifa imewafikia wananchi na wamechambua tyr...ukija na uchambuzi wako wa kujipendekeza watu wanaishia kukung'ong'a tu... watanzania wana imani sana na mhe.Lissu , hilo hata wana ccm wenyewe wanalijua...hivyo kesho hasa redio flan njooni na uchambuzi wenu wa kiboya .. uchambuzi wa kutafuta Udc... uchambuzi wa kujipendekeza kwa mzee wa chatto na serikali yake...ni bora msichambue kbs
 
Huna nguvu hiyo wewe size yako ni kupokea maagizo ya Chakubanga kwa ujira wa buku 7
Maaamuzi yangu MKUU.

HATA KULA KAMA UPINZANI WATAMPITISHA MH. LISSU basi ntatumiaa nguvu yangu apite JPM.
 
Back
Top Bottom