Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Waisraeli wamerusha satellite mpya kwa dhumuni la ujasusi hasa kuichunguza Iran na teknolojia yao ya Mabomu ya Nyuklia.
Ni vipi waihofia Iran huku ninyi mnaowasujudu mnaamini kuwa wana akili sana kuliko mtu yoyote duniani. Kwanini wasiunde vifaa vya kufanya hayo mabomu ya Iran yawe maji ya kunywa?
Mnaosujudu Waisraeli kuwa wana akili sana, mbona sio nchi inaoongoza kuwa na akili zaidi katika top ten countries. Siyo nchi inayoongoza kuwa na smartest people on earth. Sio nchi inayoongoza kuwa na teknolojia mpya duniani.
Sio nchi inayoongoza kuwa na wanafunzi werevu zaidi duniani. Sio nchi inayoongoza kwa research papers duniani.
Sio nchi inayoleta teknolojia mpya zinazoshangaza dunia. Mfano Kompyuta, gari, treni za mwendokasi, ndege, mitandao. Vyote vimeanzia Ulaya na Marekani ndio Israel.
Akili yao ni ya ajabu sana. Mbona sioni kipya walichonacho ambacho Wazungu, Wamarekani hawana? Ninyi mnawapima vipi hizo akili nyingi zilizobarikiwa?