jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,645
Na vice versaBila USA hao Israel ni kaputi tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na vice versaBila USA hao Israel ni kaputi tu.
Nani wanaaminishwa!!? .....Hata biblia haijaandika Kama ni watu wenye akili kuliko wote No ,au unatumia referrence ipi kusema wanaaminishwaN
memezungumzia Israeli sio MTU mmoja mmoja.Nchi ya islaeli imeleta mini ambacho kimeigwa dunia nzima.Zuckerber in Mmarekani.Ukisema Muislaeli mmoja mmoja hats Waafrika mmoja mmoja wamegundua mengi huko America ila Afrika hakuna hizo teknolojia.Israeli kama nchi ya wenye akili sana hawaongozi dunia kwa jambo lolote.Sasa mnaominishwa kuwa wana akili sana duniani mnatumia data zipi?
Unamaanisha nini mkuu kwamba iran hamnazo au?Iran inapata tabu sana
Wakikuyu siwajui, lakini alikwambia nani kuwa Wahaya ni kielelezo cha akili kubwa?binafsi mimi ni mkatoliki damu damu, sipendi makanisa mengine wanavyotukuza taifa la israel kama ni mungu vile. Afadhali sie wakatoliki hatufanyi sana hivyo. Lakini licha ya hayo waisrael na wayahudi kwa ujumla wanauwezo mkubwa sana kiakili ni kama makabila ya kikuyu na wahaya hapa Afrika mashariki. mashirika makubwa au watu wenye ushawishi sana kwenye jamii duniani kisiasa,kiuchumi na kijamii ukichunguza chimbuko lake ni Muisrael. huo ni ukweli mchungu ambao watu wa bara Arab na wafuasiwao hawaukubali daima. majamaa ni wachache na kanchi kadogo lakini kanawahenyesha. kipimo kua israel ni smark upstair ukilinganisha na nchi zote za warabu ni Vita ya siku 6. mataifa kibao yaliungana lakini yakaachwa mdomo wazi na kanchi ambako kalikua hakana hata miaka 40 toka kaanzishwe
😀😆😀 we jamaa mswahili sana, sasa bom linageuzwaje kuwa maji ya kunywa!Ni vipi waihofia Iran huku nyinyi mnaowasujudu mnaamini kuwa wana akili sana kuliko MTU yoyote duniani. Kwanini wasiunde vifaa vya kufanya hayo mabomu ya Iran yawe maji ya kunywa?
Kawaida
binafsi mimi ni mkatoliki damu damu, sipendi makanisa mengine wanavyotukuza taifa la israel kama ni mungu vile. Afadhali sie wakatoliki hatufanyi sana hivyo. Lakini licha ya hayo waisrael na wayahudi kwa ujumla wanauwezo mkubwa sana kiakili ni kama makabila ya kikuyu na wahaya hapa Afrika mashariki. mashirika makubwa au watu wenye ushawishi sana kwenye jamii duniani kisiasa,kiuchumi na kijamii ukichunguza chimbuko lake ni Muisrael. huo ni ukweli mchungu ambao watu wa bara Arab na wafuasiwao hawaukubali daima. majamaa ni wachache na kanchi kadogo lakini kanawahenyesha. kipimo kua israel ni smark upstair ukilinganisha na nchi zote za warabu ni Vita ya siku 6. mataifa kibao yaliungana lakini yakaachwa mdomo wazi na kanchi ambako kalikua hakana hata miaka 40 toka kaanzishwe
Jifunze kwanza kuandikaWaisraeli wamejaa humu Afrika kuanzia misri,etheopia, nk hamna wanachogundua.Sasa hizo akili zipo kwa waislaeli wa ulaya na marekani tu na sio nchi nyingine mfano uarabuni wamejaa waislaeli mbona hatuoni wakianzisha makampuni makubwa huko!! Lakini wazungu wa Afrika wamegundua mengi kwenye arddhi ya Afrika mfano T scan
Aya maswali siyo kiwango cha uliye muulizaWakikuyu siwajui, lakini alikwambia nani kuwa Wahaya ni kielelezo cha akili kubwa?
Laana havijawahi kumuacha mtu salamaIsrael bila ya dollars bilion zaidi ya 10 wanazopewa na USA kila mwaka hawana lolote.
Nimecheka sana. Sijaandika Kiswahili hapo, hapo nimeandika kwa jinsi inavyotamkwa. Weka akilini hilo.Sasa huwezi muita Yakobo hilo jina ingali kwenye lugha ya Kiswahili hatuna matumizi ya Q kaaabisa.
Safi.Hiyo kazi fanya wewe anza na mtoto wa Netanyahu hadi umfikie Yakobo utakapoona pamechenga njoo sema.
.
Sioni haja ya kufanya hivyo as long as mimi ni Mkristo na sijaagizwa hayo.
Natembea na kitabu cha MUHIBIRI.
Sababu mnaendelea kueneza uovu na uongo.Baada ya kujua hilo why do you guys still dealing with our face? Si mshajua fateni yenu ondoeni na maandiko ya Biblia kwenye tabu lenu.
.
Au mpaka lengo lenu mama litimie?
Kazi imeisha.Sina huo muda na siwezi nikawa nao MILELE DAIMA.
Sababu Uyahudi ni Dini, hili nimeshakujibu huko juu.Thibitisha hakuna Muyahudi wa asili.
Kabla sijakujibu hilo, kwanza nithibitishie ya kuwa kweli Kristo alifufuka.Kisha uniambie kwanini baada ya Kristo kufufuka kutoka kwa wafu kuanzia kipindi hicho Israel haijawahi kuwa na Kuhani mkuu hadi sasa?
Abdool mjukuu wa marehemu muddy una matatizo.
ni kheri hata usingeni-quote unakosoa upuuzi wa Abdool mwenzako eeeh
.
Narudia tena swali langu "Kwamba unawajua wana waislael sio"?
Nimecheka sana, hii mantiki ya mtindo huu umeisoma kwenye kitabu gani mzee cha Elimu ya Logic ?Uwe unaelewa mantiki ya kila linaloandikwa.
unapomsikia Mkristo anasema ninyi mnafuga majini haina maana mnayo ndani au mahala fulani ila nikutokana na surat jin mpuuzi wewe.