Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
- Thread starter
- #21
Mmezungumzia Israeli sio MTU mmoja mmoja. Nchi ya Israeli imeleta nini ambacho kimeigwa dunia nzima. Zuckerber ni Mmarekani. Ukisema Muisraeli mmoja mmoja hata Waafrika mmoja mmoja wamegundua mengi huko America ila Afrika hakuna hizo teknolojia.Tatizo ni kwamba kila mtu unayeona amefanya mambo makubwa chimbuko lake ni huko.
Ukitaja watu matajiri au wenyeushawishi na wenye uvumbuzi wa teknolojia chimbuko lao ni Israel
Hivi unajua teknolojia ya Artificial Intelligence iluvyopindua meza kwenye masuala ya uendeshaji mitambo?
Unajua mvumbuzi wake ni asili ya wapi? Mark Zuckerberg unajua asili yake wapi?
A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi
Nb. Siwaabudu Israel
Israeli kama nchi ya wenye akili sana hawaongozi dunia kwa jambo lolote. Sasa mnaominishwa kuwa wana akili sana duniani mnatumia data zipi?