Mnaosujudu Israel, ni kipi hasa kinachofanya mlione ni taifa lenye watu wenye akili zaidi duniani?

Nenda kasome six days war, halafu urudi hapa. Acha porojo!, ukitaka kujua power ya israel ondoa bias, ujifunze kwanza.
 
Kwa hio wayahudi wana upeo mkubwa kuliko wazungu, kuliko wachina, kuliko wajapani. Unsongea ukweli mkuu.
Hapa TZ tunatumia vifaa vilivyotengenezwa na wachina,wajapani na wakorea sasa unaniaminishaje kuwa wanaupeo mkubwa huku sina nachofaidi kutoka kwao.
 

Kuna sehemu nadhani kwene biblia sina uhakika Wenyewe watakuja kusema

“Nao watarudi kwene Ardhi yao ,Watakaporudi hamna atakae weza kuwa ng’oa “

Ukifatilia haya maneno naona ni kweli

Waarabu wamejaribu kuungana wameshindwa tangu 1948 saa izi wamesurrender wanaanza taratibu kuwa rafiki

Sasa hivi ni nchi nyingi za kiarabu zinaitambua Israel kuliko miaka iliyopoita
Iliyobaki n IRan
 
yan wamerusha ad satelite wanakuaje hawana akili. watahudi wanaakili sana wengi wanaushi nchi nyingine kv. england Usa NK

chkulia mfano akili kubwa ya Zelensky myahudi.
 
Waua Yesu. Makatili. Wapora ardhi. Wabaguzi ukibisha nenda kaishi kule na hata ukifuata dini yao ya hebrew bado utabaguliwa tu
 
Israel bila ya zaidi ya dollars bilion 10 wanazopewa na USA kila mwaka hawana lolote.
Isreal ni Marekan ndogo ndio maana hata baajeti yake inatoka marekan ile ni zuga tu kujifanya taifa lengine, na lengo kuu kupata mafuta
 
Ina maana kwenye hiyo vita ya siku 6 waliomba msaada na ukaingia on time ndani ya huo mda?
 
Israel wao waliba jina la Mtume Yaqoub sababu alikuwa na Majina mawili ili watengeneze Bibilia zao na kusema Israel ni taifa teule wamesahau history huwezi ibadilisha makibila 12 ya wajukuu wa Israel wapo Warabu, Wa Afghanstan, Wayahudi na makibila mengi

Afu nchi walio ahidiwa katakana na Quran na Bibilia

Itakuwa ni Aradhi ya kinani ni Misr automatic kwa sasa ni Egypt

Afu bani Israel mbona wengi tu walifuata dini ya baba yao ni Uislam.

Mungu Alisha wauliza swali wakristo nawayahudi kuhusu Ibrahim kama wanadai Ibrahim alikuwa myahudi au mkristo walete Dalili zao

Hawana kitu hao ni kila watu wakipata elimu ndio watajua hio Israel ilitengenezwa na muingereza si kama wanavyo dai wakristo.
 
Umeongea kweli ila kihistoria Uajemi haina uadui na Israel,kumbuka wakati inaanguka dola ya Babeli na kuibuka Uajemi,waliomba wakaijenge tena nchi yao na Mfalme wa Uajemi akawaruhusu ingawa Wayahudi waligoma kuondoka wakazamia hukohuko.Hadi leo nchini Iran kuna dini ingawa ina wafuasi wachache,wao wanafuata mafundisho ya Yohana Mbatizaji.Ila tatizo ni pale Iran alipofanya mapinduzi na kukataa kuwa rafiki wa USA basi na ugomvi umekuja hapo.Pia hata Saudi Arabia na Iran hawaivi kabisa kwa sababu za utofauti wa madhehebu lakin pia Saudia ni swahiba mkubwa wa USA. Na katika mambo ya kiimani,Wairan hadi leo wanaulaani ukoo wa kifalme maana hawa ndo walipindua utawala wa himaya ya Hijjaz na kuiweka ndani ya Saudia,kama vile Spain na Catalunya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…