Mnaosujudu Israel, ni kipi hasa kinachofanya mlione ni taifa lenye watu wenye akili zaidi duniani?

thank you for sharing nakukubali sana
 
Wewe unasujudia nchi gani? Tuanzie hapo, halafu huko unakokusujudia wana uwezo wa hayo uliyoropoka au? Nasubiri majibu kutoka kwako
Mkuu kwa sasa naisujudia China,Singapoor,Japan na Iran zinafanya mapinduzi kwa kutumia watu wake.
USA, na nchi za ulaya zina tegemea sana brain drain.
Isitoshe zimeonesha mapinduzi kwa muda mfupi na kuniaminisha kumbe hakuna haja ya kuamini tech revolution ni ya wazungu tu.
Vilevile naona China ineleta mapinduzi ya kiuchumi huku kwetu kwa teknolojua zao rahisi tunazozimudu.
Mashine mitambo, magari, tunaokolewa na wachina bila hivyo Africa hali ingekuwa tete maana teknolojia ya mzungu haikumsaifia sana mtu mweusi.
Kwa nini nisimsujudie mtu asie na msaada zaidi ya kuninyonya.
 
Taifa la Marekani ni mkusanyiko wa watu wenye asili ya mataifa na makabila mbalimbali ikiwemo Israel. Kwa taarifa yako ni kwamba waisraeli walioko Marekani ni almost m sita yaani ni wengi kuliko wanaounda taifa la Israel lakini pia ni wachache sana ndani ya taifa la Marekani kwa sababu taifa la Marekani lina zaidi ya watu m mia tatu ila pamoja na uchache wao, wao ndio wamehodhi karibu kila nyanja na kila sekta. Kwenye teknolojia wao ndio wanaongoza, kwenye pesa (utajiri) wao ndio wanaongoza, kwenye siasa wao ndio wameshikilia hatamu pamoja na maeneo mengine kama vile jeshini. Hivyo kwa kifupi waisrael ndio watawala wa dunia penda usipende, taka usitake.
 
hili swali hata mie huwa najiuliza mnooo
jamaa wanasifiwa mnoo lakini ukija kwenye Record za kidunia kama nchi hawapoo
watetezi wao wanabaki kutaja baadhi ya watu wakiwahusisha na asili yao....
Mchina wala hahusiani na hao Jamaa ila ni Moto mkaliaa
wajapan wala hawana uhusiano na hao jamaa ila balaa lao zitoo
 
"Israel means God contended, wrestles with God , Triumphant with God ". The name itself has a powerful meaning.
 
Wamarekani weusi wa achieve huko marekani basi nasi afrika ndio tumeachieve. Mmarekani ni mmarekani, kwani kuna taifa la islaeli ndani ya marekani, mkishiba mnatema radi kweli.
Sisi watu wa kigoma kwa sababu babu zetu walihamia kutoka kongo basi sisi ni wakongo?
Hio kanuni umeitoa wapi?
Ongelea na waislaeli wa Afrika, huko Etheopia ambao ni masikini wa kutupa.
 
Huenda hata teknolojia anayotumia Iran chanzo chake ni Israel! Israel ni Taifa lililobarikiwa kuliko Mataifa tyote.
 
Hao hao unaowasema ndio ambao wanaongoza kutengeneza vitu fake duniani.
 
Nilishangaa miaka michache iliyopita wakati wakiwa kwenye “vita” ya upande mmoja na Palestine wakaishiwa risasi hivyo ikabidi watoe emergency order kwa US. Nikajisemea hili Taifa teule pamoja na billions $$$ toka US kila mwaka kumbe hata utaalamu wa kutengeneza risasi hawana.


Israel bila ya zaidi ya dollars bilion 10 wanazopewa na USA kila mwaka hawana lolote.
 
Hao hao unaowasema ndio ambao wanaongoza kutengeneza vitu fake duniani.
Hivyo og vya islaeli viko wapi ?
Hapo umelilia mpaka godoro la mchina halafu unapiga mbeta.
Bara bara unatembelea kajenga mchina, mabasi unayopanda kajenga mchina, bajaji unazopanda, bodanoda sijaona vya muislarli halafu nimshabikie kijuha jiha.Huyo muislaeli kajenga nini hapa TZ zaidi ya kutubebesha msalaba wa Yesu huku wao wameutua.
 
Kwa karibu milenia nzima waarabu wamesomba waafrika kwa mamilioni kuwapeleka utumwani Asia, ulikuwa ni ukatili mkubwa kwani wanaume walihasiwa kama ng'ombe na wengi walipoteza maisha.

Hadi leo hii hakuna uzao wowote wa watumwa waliopelekwa bara Asia. Ulikuwa ni ukatili mkubwa dhidi ya mwanadamu kuwahi kutokea duniani.
 
Mbona uandishi wako unaonyesha unahusudu Iran mkuu? waache na wenzio wawe huru wasujudu wanachoamini
 
Mbona uandishi wako unaonyesha unahusudu Iran mkuu? waache na wenzio wawe huru wasujudu wanachoamini
Kwa sababu wana andamwa bila sababu.
Mapito wanayopitia Iran ni magumu kwa mtu mwenye akili.
Irani wameweza kukuza technolojia bila ya msaada mkubwa kukiko hao islaeli, wanaunda vitu vyote vta muhimu wao wenyewe.
Napendezwa na Iran kwa sbabu ni modal kwa Tanzania kujifunza kuwa unaweza kupaa bila ya msaada wa mabeberu na kuwa Tishio duniani.
Soma historia ya Iran utaelewa na huenda ukaipenda.
Nchi nyingine nilisahau ni Korea Kaskazini, nao wameweza kukuza technolojia ya nuckear pamoja na vokwazo vya magharibi, kwa ujimka sipendi uonevu dhidi ya watu wasio na hatia.
Simpendi kiduku kwa sababu nae anaonea watu ola modal yao nu nzuri kwa watanzania kuiga.
Sioni cha kujifunza islael zaidi ta uonevu na majigambo. Ingetobia bola ya misaada basi ningeipa chapuo.
 
watakuja kujibu mataifa 7 ya kiarabu walio-ishambulia Israel mwaka 1960's na kusambaratishwa kaaa kumbikumbi na wakaomba poo.
 
Unazungumzia Tanganyika ya Kina Doroth Gwajima, Kibajaji, Ndugai na SUKUMA gang ya kupima mapapai kama yana corona ndio inaweza kujitegemea bila msaada wa mabeberu?

Washauri WATENGENEZE TOOTH PICK na kondom kwanza, wamalizie na chupi tu na sidiria za made in Tanganyika alafu baadae tuende kewnye vitu vikubwa.

Ila kama Unazungumzia Tanganyika ambayo wewe ukiamka asubuhi:

1. Unapiga swaki kwa colgate ya Mmarekani.
2. Unanyoa vuzi kwa wembe gillate tokaa uingereza.
3. unpiga morning glory kwa kondom ya USAID.
4. unavaa boxer na bikini ya Uturuki.
5.Cheni ya Mchina japo madini yametoka Mererani Arusha.
6. Meno bandia ya Canada.
7.Kofia ya Marekani.
8. Saa ya Swiss
 
Siyo kweli.. maana guru wa technology duniani Steve Jobs asili yake ni mwarabu wa Syria..Bill Gates sio muisrael. Haya sasa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…