Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
- Thread starter
-
- #141
Yani USA ikasaidiwe na Islaeli !!!! Makande mabaya sana, punguza kula kande mkuu.Hawakusaidiwa, walizungukwa, naona ume-elekeza mawazo yako mgando USA, bila kujua USA ndio inasaidiwa mbinu na ujasusi na Israel.
Nyie lini mtatoa misaada. Waarabu na mahela yao mengi waliovuna kwenye mafuta wao wamewapa misaada gani. Ifike mahali tuache unafiki.Kwa sababu wana andamwa bila sababu.
Mapito wanayopitia Iran ni magumu kwa mtu mwenye akili.
Irani wameweza kukuza technolojia bila ya msaada mkubwa kukiko hao islaeli, wanaunda vitu vyote vta muhimu wao wenyewe.
Napendezwa na Iran kwa sbabu ni modal kwa Tanzania kujifunza kuwa unaweza kupaa bila ya msaada wa mabeberu na kuwa Tishio duniani.
Soma historia ya Iran utaelewa na huenda ukaipenda.
Nchi nyingine nilisahau ni Korea Kaskazini, nao wameweza kukuza technolojia ya nuckear pamoja na vokwazo vya magharibi, kwa ujimka sipendi uonevu dhidi ya watu wasio na hatia.
Simpendi kiduku kwa sababu nae anaonea watu ola modal yao nu nzuri kwa watanzania kuiga.
Sioni cha kujifunza islael zaidi ta uonevu na majigambo. Ingetobia bola ya misaada basi ningeipa chapuo.
Kwenye uzi wangu nimezingumzia warabu au unachuki na hao warabu. Nimezungumzia Iran,China,Korea, Russia. Usinipeleke kusiko.Nyie lini mtatoa misaada. Waarabu na mahela yao mengi waliovuna kwenye mafuta wao wamewapa misaada gani. Ifike mahali tuache unafiki.
wanapewa kwa makubaliano gani na tangu lini?Israel bila ya zaidi ya dollars bilion 10 wanazopewa na USA kila mwaka hawana lolote.
hebu tupe tofauti ya Israelites na wayahudiItakua nawe ni mmoja ya wasiopenda maendeleo ya Israelities. Kwenye Comments zangu hakuna sehemu nimesema Mccarthy na Zuckerberg ni wayahudi. Nimesema ni waisrael. Ukute hujui tofauti ya wayahudi na israelities
taja waisrael waliofanya mambo makubwaUnapingana na ukweli
Ndio mbegu bora ya binadamu kwa akili...
wahaya wamefanya mambo gani mpaka useme wana akili?Binafsi mimi ni mkatoliki damu damu, sipendi makanisa mengine wanavyotukuza taifa la israel kama ni mungu vile. Afadhali sie wakatoliki hatufanyi sana hivyo. Lakini licha ya hayo waisrael na wayahudi kwa ujumla wanauwezo mkubwa sana kiakili ni kama makabila ya kikuyu na wahaya hapa Afrika mashariki.
Mashirika makubwa au watu wenye ushawishi sana kwenye jamii duniani kisiasa,kiuchumi na kijamii ukichunguza chimbuko lake ni Muisrael. huo ni ukweli mchungu ambao watu wa bara Arab na wafuasiwao hawaukubali daima. majamaa ni wachache na kanchi kadogo lakini kanawahenyesha.
Kipimo kua israel ni smark upstair ukilinganisha na nchi zote za warabu ni Vita ya siku 6. mataifa kibao yaliungana lakini yakaachwa mdomo wazi na kanchi ambako kalikua hakana hata miaka 40 toka kaanzishwe
Baada ya mfalme Suleiman kufa watoto zake wawili Rehoboam na Yeroboam walianza kugombania utawala. Lakini Yeroboam alikua kashapewa unabii kwamba Ufalme wa waisrael utagawanyika.hebu tupe tofauti ya Israelites na wayahudi
ndo hao wanajiita lost tribes of Israel??Kuna waisrael wengi Sana blacks pale Ethiopia na Nigeria. Mwaka juzi Kama sikosei walikataliwa kurudi Israel coz waisrael wa kizungu hawawakubali wenzao.. hata hivyo Kuna blacks kibao kule ambao ni waisrael,. Actually ni polisi kule
amepewa kwa masharti gani?Ushahidi kuwa anapata 10bil usd?
Mwaka jana kapewa 3.8bil usd
nimekuelewa sana.umeshawahi sikia kuwa kuna waisrael weusi?Baada ya mfalme Suleiman kufa watoto zake wawili Rehoboam na Yeroboam walianza kugombania utawala. Lakini Yeroboam alikua kashapewa unabii kwamba Ufalme wa waisrael utagawanyika.
Sasa basi Rehoboam alipewa atawale makabila mawili ya Yuda na Benjamin wao walikaa huko Yerusalem. Neno wayahudi limetokana na jina Yuda yaani watoto wa Yuda.
Yeroboam alitawala makabila kumi yaliyobaki.. Hivo basi Kila myahudi ni muisrael kwakua antoka chimbuko la Baba yao Israel/Jacob ila sio kila muisrael ni myahudi/mwana wa yuda. Maana makabila yalikuepo 12.
Sijui nimeeleweka....
Unabii wenyewe huu hapa!
1 Wafalme 11:29-31
[29]Ikawa zamani zile Yeroboamu alipokuwa akitoka katika Yerusalemu, nabii Ahiya, Mshiloni, alikutana naye njiani; naye Ahiya amevaa vazi jipya, na hao wawili walikuwa peke yao mashambani.
[30]Ahiya akalishika lile vazi jipya alilokuwa amelivaa, akalirarua vipande kumi na viwili.
[31]Akamwambia Yeroboamu, Twaa wewe vipande kumi, maana BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Nitaurarua ufalme, na kuuondoa katika mkono wa Sulemani, nami nitakupa wewe kabila kumi,
mzee tufanyaje ili tuwe na viwanda vyetu?Unazungumzia Tanganyika ya Kina Doroth Gwajima, Kibajaji, Ndugai na SUKUMA gang ya kupima mapapai kama yana corona ndio inaweza kujitegemea bila msaada wa mabeberu?
Washauri WATENGENEZE TOOTH PICK na kondom kwanza, wamalizie na chupi tu na sidiria za made in Tanganyika alafu baadae tuende kewnye vitu vikubwa.
Ila kama Unazungumzia Tanganyika ambayo wewe ukiamka asubuhi:
1. Unapiga swaki kwa colgate ya Mmarekani.
2. Unanyoa vuzi kwa wembe gillate tokaa uingereza.
3. unpiga morning glory kwa kondom ya USAID.
4. unavaa boxer na bikini ya Uturuki.
5.Cheni ya Mchina japo madini yametoka Mererani Arusha.
6. Meno bandia ya Canada.
7.Kofia ya Marekani.
8. Saa ya Swiss
Iran imejengwa na marekani kivipi?kuna watu mnatoka nje ya mada na kuigusagusa Iran. pengine hamjui ama unazi unawasumbua tu. nchi zote hizo, iran na israel, hali zao zinajengwa na marekani. yani zipo zilivyo kwa sababu ya marekani. marekani ana uwezo wa kupindua meza na kesho huu uzi utabadilika. USA akitaka anakupandisha, akitaka anakushusha.
Thank you for sharingNilishangaa miaka michache iliyopita wakati wakiwa kwenye “vita” ya upande mmoja na Palestine wakaishiwa risasi hivyo ikabidi watoe emergency order kwa US. Nikajisemea hili Taifa teule pamoja na billions $$$ toka US kila mwaka kumbe hata utaalamu wa kutengeneza risasi hawana.
Sending ammunition to Israeli military, US shows a legal loophole - The World from PRX
Despite war crimes accusations against Israel for killing more than 900 civilians in Gaza, the US has transferred tank ammunition and grenades to its military.www.pri.org
taja waisrael waliofanya mambo makubwa kwenye uchumi na teknolojiaTaifa la Marekani ni mkusanyiko wa watu wenye asili ya mataifa na makabila mbalimbali ikiwemo Israel. Kwa taarifa yako ni kwamba waisraeli walioko Marekani ni almost m sita yaani ni wengi kuliko wanaounda taifa la Israel lakini pia ni wachache sana ndani ya taifa la Marekani kwa sababu taifa la Marekani lina zaidi ya watu m mia tatu ila pamoja na uchache wao, wao ndio wamehodhi karibu kila nyanja na kila sekta. Kwenye teknolojia wao ndio wanaongoza, kwenye pesa (utajiri) wao ndio wanaongoza, kwenye siasa wao ndio wameshikilia hatamu pamoja na maeneo mengine kama vile jeshini. Hivyo kwa kifupi waisrael ndio watawala wa dunia penda usipende, taka usitake.
Hivyo unavyoiona leo ni mkono wa marekani. wenyewe , kwa maslahi wanayoyajua, mara marafiki, wanawauzia silaha ,mara adui wanampiga. hizo nyuklia za Iran ni USA wenyewe walimuonjesha miaka ya nyuma. Kwahiyo, hata leo , unaona kama vile Iran hafurukuti kiviiile kwa Israel ni sababu ya vikwazo vya usa kwao, huku akiisapoti Israel. Akiamua Israel inakuwa Congo tu ndan ya muda mfupi sana. Marekani si mchezo achana nayo. cheki summary ya historia ya usa na iran hapa ujionee:Iran imejengwa na marekani kivipi?
Kwa hiyo ilibidi iitwe nchi gani?Tofautisheni Waisrael na wayahudi.
Waisrael Yesu aliwaambia watatawanyika KONA nne za Dunia. Na huko watakuwa Watumwa na nchi yao itakaliwa na Mataifa mpaka siku ya Mataifa itakapofika.
Wayahudi Wazayuni ni wahuni wachache walio chukua identity ya waizrael wakajipachika wao.
NB: KASOMENI VZR HISTORIA KUJUA NI NA JAMIII GANI ILITAWANYIKA KONA 4 Z Dunia na huko walikuwa watumwa.
Plus:Muda wa Mataifa haijafika bado incase u don't know....so they are still scattered into 4 corner of the earth. Sasa wale wakristo wenzangu na mimi waliojivika mabendera ya sijui nchi inaitwa izrael majumbani mwao Poleni. Maana "Watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa"
Kwa sababu wana andamwa bila sababu.
Mapito wanayopitia Iran ni magumu kwa mtu mwenye akili.
Irani wameweza kukuza technolojia bila ya msaada mkubwa kukiko hao islaeli, wanaunda vitu vyote vta muhimu wao wenyewe.
Napendezwa na Iran kwa sbabu ni modal kwa Tanzania kujifunza kuwa unaweza kupaa bila ya msaada wa mabeberu na kuwa Tishio duniani.
Soma historia ya Iran utaelewa na huenda ukaipenda.
Nchi nyingine nilisahau ni Korea Kaskazini, nao wameweza kukuza technolojia ya nuckear pamoja na vokwazo vya magharibi, kwa ujimka sipendi uonevu dhidi ya watu wasio na hatia.
Simpendi kiduku kwa sababu nae anaonea watu ola modal yao nu nzuri kwa watanzania kuiga.
Sioni cha kujifunza islael zaidi ta uonevu na majigambo. Ingetobia bola ya misaada basi ningeipa chapuo.
historia pia huandikwa na watu. itategemea maslahi yao ni yepi na hivyo imeandikwaje.Tofautisheni Waisrael na wayahudi.
Waisrael Yesu aliwaambia watatawanyika KONA nne za Dunia. Na huko watakuwa Watumwa na nchi yao itakaliwa na Mataifa mpaka siku ya Mataifa itakapofika.
Wayahudi Wazayuni ni wahuni wachache walio chukua identity ya waizrael wakajipachika wao.
NB: KASOMENI VZR HISTORIA KUJUA NI NA JAMIII GANI ILITAWANYIKA KONA 4 Z Dunia na huko walikuwa watumwa.
Plus:Muda wa Mataifa haijafika bado incase u don't know....so they are still scattered into 4 corner of the earth. Sasa wale wakristo wenzangu na mimi waliojivika mabendera ya sijui nchi inaitwa izrael majumbani mwao Poleni. Maana "Watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa"