Mnaotafuta Kazi,Canada kuna Kazi bwerere hazina watu.

Mnaotafuta Kazi,Canada kuna Kazi bwerere hazina watu.

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
19,582
Reaction score
14,167
Happy new year.

Wale mnaotafuta Kazi ,nendeni haraka Canada,mnaweza wasiloana na Balozi wetu kule awafanyie connection.

Sio mumelundikana Bongo na kulia Lia tuu hamtaki kujiongeza.

Kazi hizi hapa zinawatafuta nyie👇

Screenshot_20211221-083459.png

Screenshot_20211221-083514.png
 
Kama upo huko jitahidi kufuatilia utaratibu uko vp? Mkuu kuna system ya kutumia invitation friend Visa sijui kama unaijua?
 
Happy new year.

Wale mnaotafuta Kazi ,nendeni haraka Canada,mnaweza wasiloana na Balozi wetu kule awafanyie connection.

Sio mumelundikana Bongo na kulia Lia tuu hamtaki kujiongeza.

Kazi hizi hapa zinawatafuta nyie👇

View attachment 2066286

View attachment 2066287
Kuna watu wanapata scholarship mfano ya kwenda italy kusoma,naskia huwa unalipwa na serikali ya huko na kila kitu bure.

Je ni kweli watu wakipata nafasi wanasoma huku wakilipwa ?

Na kama ni kweli jee ni bei gani ?

Je kkuna risk gani ?
 
NI kweli mkuu,huwa zinatangazwa za Nchi mbalimbali ikiwemo Uturuki nk.

Unapewa bumu,tiketi ya ndege na mahala pa kuishi kwa kipindi chote utakachokuwa masomono.
 
KIrahisihi ivyo wahindi walivyo jaaa uko wangeshawapa ndugu zao mashavu
Ndio hawajawapa sasa,kwa hiyo unabishana na gazeti la Canada au.

Ndio maana wabongo hamuishi kulaumu na kulia Lia,unaonyeshwa fursa tena na wewe umesema ila bado unazingua.

Kuna kipindi UK walisema Wana upungufu mkubwa wa madereva ila sijui kama kuna wabongo walienda tofauti na Wakenya,Nigeria,Ghana na South Africa.
 
Back
Top Bottom