Mnaotafuta Kazi,Canada kuna Kazi bwerere hazina watu.

Mnaotafuta Kazi,Canada kuna Kazi bwerere hazina watu.

NI kweli mkuu,huwa zinatangazwa za Nchi mbalimbali ikiwemo Uturuki nk.

Unapewa bumu,tiketi ya ndege na mahala pa kuishi kwa kipindi chote utakachokuwa masomono.
Boom lake lina range katika kiasi gani mkuu kes nchi kama italy
 
Fuata taratibu za kupata visa uende Canada ila unatakiwa kufuatilia sekta zipi hasa zina uhitaji mkubwa.

Mabalozi wetu wamelala
Hakuna nchi yenye mabalozi waduanzi kama Tanzania ,nipo Kenya naona raia wa huku wanavyofanyiwa mipango na balozi zao plus kuna agencies nyingi zinapeleka watu Dubai,Qatar,Oman na ukienda huko ni kuanza kazi (working permit zinafanyiwa mchakato huku huku kabla ya mhusika kwenda huko)
 
Ndio hawajawapa sasa,kwa hiyo unabishana na gazeti la Canada au.

Ndio maana wabongo hamuishi kulaumu na kulia Lia,unaonyeshwa fursa tena na wewe umesema ila bado unazingua.

Kuna kipindi UK walisema Wana upungufu mkubwa wa madereva ila sijui kama kuna wabongo walienda tofauti na Wakenya,Nigeria,Ghana na South Africa.
UK nina ndugu ilo nilisikia na kuna jamaa wamedaka fursa.
Hii ya Canada pia nina mshikaji ngoja nimcheki yupo Ontario
 
Hakuna nchi yenye mabalozi waduanzi kama Tanzania ,nipo Kenya naona raia wa huku wanavyofanyiwa mipango na balozi zao plus kuna agencies nyingi zinapeleka watu Dubai,Qatar,Oman na ukienda huko ni kuanza kazi (working permit zinafanyiwa mchakato huku huku kabla ya mhusika kwenda huko)
Viongozi wetu hawataki tutoboe huko mambele wanataka kila siku watulaghailaghai tu na maneno yao uchwara
 
Hakuna nchi yenye mabalozi waduanzi kama Tanzania ,nipo Kenya naona raia wa huku wanavyofanyiwa mipango na balozi zao plus kuna agencies nyingi zinapeleka watu Dubai,Qatar,Oman na ukienda huko ni kuanza kazi (working permit zinafanyiwa mchakato huku huku kabla ya mhusika kwenda huko)
Tatizo hela hatuna hakuna kudhaminiwa na balozi ili ukifanikiwa kwenda unakatwa pesa yao uliyowakopa
 
Kati ya nchi ngumu kupata visa ni canada hasa ukiwa unatokea africa south america au northern asia
 
Back
Top Bottom